Jojo Gray On Being A Mom & Keeping It Stylish
Tunamjua kama Jojo Gray lakini jina lake kamili ni Joan D Gray, mwanadada aliyejipatia umaarufu kutoka na style zake za mavazi (fashionista) tumepata nafasi ya kufanya nae interview na kutueleze mambo mbalimbali kuhusu mitindo na urembo Afs: Tuanze Na Historia Yako Kwa Ufupi. Jojo: my…
Weekend Outfit Inspiration From Ms Chicca Bwase
Ni Ijumaa nyingine tena, weekend inaanza na kama ambavyotunajua weekend ni kwa ajili ya mapumziko, shopping, mitoko ya hapa na pale na kumeet na ndugu na marafiki. Leo tunakuletea weekend outfit inspiration kutoka kwa fashionista Ms Chicca Bwase, Chicca ni plus size lady ambae anajua…
How to slay skater skirt kama off shoulder top
Fashionista utoka Nigeria Sade Akinosho ametuonyesha how to slay skater skirt kama off shoulder top. Sade au unaweza kumpata Instagram @S4de_u mara ya kwanza alivaa skirt hio na thigh high boots.. top na kofia wakati mara ya pili aliivaa skirt hii kama Off shoulder top na…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…