Iman Ayub Akituonyesha Namna Ya Kuwa Fashionable Hijabista
Wakati mwingine huitaji kutumia nguvu nyingi kuonekana fashionable ni jinsi tu ya kujipangilia ulicho nacho, hii imeonekana kwa hijabista huyu Iman Ayub ambae sisi tumemuona kupitia mtandao wa Instagram, Iman style yake ni chic na simple hana complications lakini anapendeza mno, but what we like the…
Aliyah Brilliant Ni Mbunifu Lakini Pia Fastionista Wa Mavazi Ya Stara
Anaitwa Aliya Briliant wengi tunamjua kama @ab_designs_ katika ukurasa wake wa Instagram, Aliyah ni mbunifu lakini pia ni fashionista wa mavazi ya stara. Kwa wale ambao huwa mnalalamika kwa kuto kujua wapi kwa kwenda ku-shop mavazi mazuri ya stara basi Aliyah ni jibu lenu, ana buni…
Hijabista Naima Osman Is Modest Style Goals
Tulisema week iliyopita wakati tupo na hijabista Munira kwamba fashion haina mipaka, kila mtu ana weza kuvaa vile apendavyo kutokana na matakwa yake na kutokuvuka mipaka ya kwake yeye na si watu wengine, well leo tuna hijabista & fashionista Naima Osman ambae yeye si fashion…
Modest Fashionista Na Makeup Artist Munira Sahal
Fashion haina mipaka kila mtu anaweza kuwa fashionable kutokana na vile anavyo penda yeye ali mradi tu anapendeza maana kuna wale fashionable wa kuto kupendeza, Ukitaka kujua hilo unaweza kuona wabunifu ambao walikua hawabuni mavazi ya Ki-Islam sasa wanabuni, kuna fashion bloggers, fashionista’s na wana ruhusu…
4 Tanzanian Stylish Hijabista To Follow On Instagram
Well ni Ijumaa nyingine tena ambapo huwa tuna waletea fashion za hijab,na fashionistas wanao vaa hijab stylish. Leo tunawaletea hijabista 4 wa kuwa follow instagram ambao ni wa Tanzania, kuna ambao tume penda style zao za mavazi, make up na hata wanavyo funga hijab zao,…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…