SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

How African Celebrities Slayed Valentines Looks 

Jumanne ilikuwa siku ya wapendao na watu maarufu wengi walitumia siku hii kuwatakia wafuasi wao valentines njema huku wakionyesha mavazi waliyovaa siku hio na wengine ambao waliamua kufanya photoshoot kabisa. Well tumeona watu maarufu wengi kutoka Africa wakiwa wamependeza na mavazi yao, Nchi ambazo tumeona…

Mitindo

New Year Looks From Celebrities 

Wakati ndio kwanzaaaa tunauanza mwaka watu maarufu wameshaanza kuonyeshana makali katika style zao za mavazi, we are loving this energy seems like 2023 tutakua na more content, anyways tukiwa kwenye siku ya pili ya 2023 tumeshaona photoshoot na looks kadhaa kutoka kwa watu maarafu na…

Urembo

Beauty Looks From Last Week 

Kuna wakati watu maarufu wana serve beauty looks mpaka unatamani wasivute, na kuna wakati unaona makeup kwa mtu maarufu unajiuliza hii imefanywa bure au kulikuwa na some sort of discount? Well tuseme kwasasa tunaona wengi wanajitahidi na looks zao, makeup artist wanajitahidi kujua rangi na…

Urembo

Try These Celeb Inspired Eid Makeup Looks 

Sikukuu ya Eid inakaribia na inawezekana umeshapata vazi lako au bado unatafuta, mara nyingi huwa tunajiandaa kimavazi na vyakula na tunasahau kuhusu looks zetu usoni, kutona na kufunga kwa mwezi mzima, kuchoka na mapishi ya hapa na pale sikukuu hii inaweza kukuta ngozi yako ikiwa…

Mitindo

All The Looks From Malkia Wa Nguvu 2022 

Malkia Wa Nguvu 2022 ilifanyika Jumamosi Machi 26, ambapo watu maarufu mbalimbali walihudhuria hafla hii. Tupo hapa kukuletea nani alivaa nini na je ilikuwa yes au no? Lavie Makeup dressed by Thee Red Label, Photo @20r_touchez,Mua @laviemakeup & Hair Hair @empress__lexygoodhair Dayna Nyange dressed by Dressed 👗 @designed_by_shuu, MUA…

Urembo

Beauty Looks From Last Week 

A round of applause kwa makeup artist na hair stylist wa Tanzania, we said it once and we will say it again makeup artist & hair stylist wanajitahidi sana katika kuhakikisha sekta yao inakua. Ukiachana na sekta hii kukua na kuwa na upcomings wengi bado…

Mitindo

Celebrities Looks Over The Weekend 

This week mitandao ya kijamii ilichangamka kutokana na watu maarufu mbalimbali ku-share picha zao katika account zao, wakiwa katika style mbalimbali za mavazi kuna ambao walikuwa casual, wengine walikuwa chic, wengine walikuwa wamehudhuria katika sherehe mbalimbali. Kama ilivyoada tupo hapa kukuletea nani alivaa nini na…