6 Best Looks We Spotted Last Week
The girls been serving looks, from casual to occasional wear, week iliyopita tumewaona watu maarufu mbalimbali wakiwa kwenye mionekano mbalimbali kutokana na sehemu walizokuwa wanaenda, as usual wengi wao walikuwa wamependeza kuanzia nywele, makeup, accessories, mavazi mpaka viatu wazungu husema head to toe. Baadhi ya…
Tanzania Celebrities Rocking The Big Afro Hairstyle
Sote tunaweza kukubaliana kwamba ukiachana na afro hair style kuwa ni moja kati ya hair styles kongwe lakini ni hairstyle ambayo huwa haitoki kwenye trend, ukiachana na kwamba ni hairstyle ambayo ni rahisi kuweka lakini pia ni moja kati ya hairstyle ambayo haimkatai mtu, inaendana…
Beauty Looks From Last Week
Last week glam code was soft and effortless, ikiwa week ilikuwa tulivu hakukuwa na event yoyote ya kuhudhuria watu maarufu walikuwa na look za kawaida ambazo ni za kila siku na sio zile za mitoko. Well ukiachana na makeup lakini pia tumeona ya nywele ikiwa…
Miss Tanzania Halima Kopwe Na Maandalizi Ya Kwenda Miss World
Mei 20, 2022, mrembo Halima Kopwe alivikwa taji la kuwa Miss Tanzania, Halima amekuwa moja kati ya ma-miss wanao fanya vizuri kwakuwa tunamuona akishiriki events mbalimbali Nchini ziwe za kusaidia Nchi au majukwaa ya urembo, akiwa anajiandaa kwenda Miss World tumefanikiwa kufanya nae mahojiano kutuelezea…
Beauty Looks From Last Week
Linapokuja swala la makeup watu maarufu huwa hawa-play games, the face must serve hata kama outfit itakuwa ya kawaida lakini sura lazima iwe vyema kabisa, iwe ni simple makeup au bold makeup look. Week iliyopita tumewaona watu maarufu mbalimbali waki-serve glam looks akiwepo Fahyma, Hamisa…
New Year Looks From Celebrities
Wakati ndio kwanzaaaa tunauanza mwaka watu maarufu wameshaanza kuonyeshana makali katika style zao za mavazi, we are loving this energy seems like 2023 tutakua na more content, anyways tukiwa kwenye siku ya pili ya 2023 tumeshaona photoshoot na looks kadhaa kutoka kwa watu maarafu na…
Kongole Zetu Kwa Top 3 Ya Miss Tanzania 2022
Kama ambavyo wakiharibu tunasema basi pale wanapo fanya vyema wasifiwe pia, Top 3 ya Miss Tanzania 2022 inastahiki pongezi, toka wapokee taji hili wamekuwa wakijitahidi sana kuonekana vyema na kwamba wanastahiki taji hili. Tunapenda namna wanavyo jibeba (carry) kuanzia mionekano yao, mavazi, viatu, makeup namna…
Halima Kopwe Aibuka Kidedea Miss Tanzania 2022
Mei 20, 2022 Tanzania imepata mrembo wa Taifa ambae atakwenda kutuwakilisha katika kilele cha kumtafuta Miss Words. Halima Kopwe toka Mtwara ametwaa taji hilo la Miss Tanzania. Halima ambae anamiaka 23, amejishindia gari dogo aina ya Benzi lenye thamani ya shilingi milioni 30 na fedha…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…