SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

Hamisa Mobetto Hair Fail 

Kila mmoja wetu ameshawahi kukutwa na hii hali uwe mtu wa kawaida au mtu maarufu lazima kuna siku unasukwa au kuweka hair do ambayo ni mbaya, week iliyopita tumemuona mwanamitindo, mfanyabiashara na mwanamuziki Hamisa Mobetto akiwa kwenye hafla ambayo alikuwa kama mgeni mualikwa. Hamisa alifika…

Mitindo

Iga Mishono Kutoka Kwa Hamisa Mobetto 

Hamisa ni versatile yaani anabadilika kama kinyonga linapo kuja kwenye swala la fashion anaweza kuwa African leo na kesho ukamkuta Western na ni kitu kizuri tunasema confuse your enemy, Dunia isikuzoee na muonekano wa aina fulani kila siku. Leo tunakuletea mishono ya kidada ya kitenge…

Mitindo

4 Work Outfit Ideas From Hamisa Mobetto 

Ni week nyingine tena inayoenda kuanza, umesha jiandaa na nywele, kucha, mentally uko tayari kabisa kuianza week yako lakini tunajua namna ambavyo inaweza kuwa hectic katika kuchagua nini uvae kwenda kazini. Kama wewe ni mdada na unapenda kupendeza ila iwe kidada zaidi basi look hizi…

Urembo

Beauty Looks Spotted From Last Week 

Kitu kimoja kuhusu ku-keep with celebrities ni kwamba hakuna kupoa wala kuboha, hasa katika swala la mitindo na urembo, mara zote huwa wanahakikisha kutu-update na mionekano yao na mara nyingi huwa wanapendeza sana. Week hii haikuwa na sherehe nyingi lakini hii haikuwazuia watu maarufu kupendeza…

Urembo

Beauty Looks From Last Week 

Last week glam code was soft and effortless, ikiwa week ilikuwa tulivu hakukuwa na event yoyote ya kuhudhuria watu maarufu walikuwa na look za kawaida ambazo ni za kila siku na sio zile za mitoko. Well ukiachana na makeup lakini pia tumeona ya nywele ikiwa…

Urembo

Ombre Color Wig/Weaving Trend 

Mpaka sasa hii ni moja ya trend kuiona mwaka huu wa 2023, mwaka umeanza na styles nyingi lakini ambayo tumeona ina jirudia hapa Nchini kwetu na Nje ya Nchi nii style ya ombre wig / weaving hair style. Ambapo style hii ni kwamba nywele inakuwa…

Urembo

Beauty Looks From Last Week 

Linapokuja swala la makeup watu maarufu huwa hawa-play games, the face must serve hata kama outfit itakuwa ya kawaida lakini sura lazima iwe vyema kabisa, iwe ni simple makeup au bold makeup look. Week iliyopita tumewaona watu maarufu mbalimbali waki-serve glam looks akiwepo Fahyma, Hamisa…