SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

6 Beauty Looks From Last Week 

Ukiachana na kwenda kwenye events, iwe photoshoot au kuamua tu kujipenda wenyewe watu maarufu wamekuwa wakituonyesha namna ambavyo makeup artist huwa wanacheza na nyuso zao. Tunapenda kwamba kila mmoja wao kapewa look yake binafsi na sio kila makeup ya huyu inafanana na huyu. Lakini pia…

Urembo

Try These Celeb Inspired Eid Makeup Looks 

Sikukuu ya Eid inakaribia na inawezekana umeshapata vazi lako au bado unatafuta, mara nyingi huwa tunajiandaa kimavazi na vyakula na tunasahau kuhusu looks zetu usoni, kutona na kufunga kwa mwezi mzima, kuchoka na mapishi ya hapa na pale sikukuu hii inaweza kukuta ngozi yako ikiwa…

Mitindo

Balmain On Hamisa Mobetto, Maua Sama & Macrida Joseph 

2021 tuliona ambavyo watu maarufu wengi walikuwa wajirabu styles mbalimbali na ku-dare kuwa wa tofauti, tupo 2022 na tunajaribu kujua nini kitafuta lakini mpaka sasa tunaweza kusema tunapenda tunachokiona. Tumewaona Fashionista’s Hamisa Mobetto, Maua Sama na Macrida Joseph wakiwa wamevalia hizi outfits za Balmain ambapo…

Mitindo

3 Times Hamisa Mobetto Slayed In All White Looks 

Wengi tunapenda ku-play safe na kuvaa black on black outfits, hii inatokana na kwamba ni rangi ambayo haileti attention nyingi, Hamisa Mobetto ameonekana kuwa tofauti kidogo yeye ametuonyesha namna ambavyo unaweza ku-slay ukiwa umevaa full white outfit wazungu husema “she wanted all the smoke” yaani…

Mitindo

Celebrities Looks Over The Weekend 

This week mitandao ya kijamii ilichangamka kutokana na watu maarufu mbalimbali ku-share picha zao katika account zao, wakiwa katika style mbalimbali za mavazi kuna ambao walikuwa casual, wengine walikuwa chic, wengine walikuwa wamehudhuria katika sherehe mbalimbali. Kama ilivyoada tupo hapa kukuletea nani alivaa nini na…