SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Corset Dress Mshono Unao-Trend Kwa Sasa 

Kama unahudhuria harusi, una wedding reception, kitchen party au hata birthday party huu ndio mshono ambao unaonekana ku-trend kwa sasa Nchini kwetu na hata nje ya Nchi. Unaitwa Corset Dress, kama unajua ile mikanda huwa tunavaa kubana tumbo basi huu mshono upo inspired na ile…

Mitindo

The Ankle Wrist Bag Trend 

Ukiachana na anklets, henna na tattoo kulikuwa hakuna namna nyingine ambayo unaweza ku-accessorize mguu wako lakini kwa sasa imeonekana unaweza kuvaa hizi ankle wrist bag na ukapendezesha mguu wako vizuri tu. Fashionista Siskikii Akituonyesha Namna Tofauti Za Kubeba Mini Bag Trend Hii trend tumeiona kwa…

Mitindo

Mishono Ya Kitenge Kutoka Kwa Hamisa Mobetto 

Hamisa Mobetto amekuwa aki-slay left and right, inaonekana ametuandalia vingi mwaka huu wa 2021, kama una kitenge chako na unataka kukishona kwa ajili ya sherehe basi kuna hii mishono miwili kutoka kwa Hamisa ambayo tumeiona na wewe unaweza kuiga kushona kama utavutiwa nayo. Ni mishono…

Urembo

Beauty Looks Served From Last Week 

New Day, New Week, Same Hustles.. Heri ya week mpya afromates na kama ilivyoada huwa tunaanza week kwa kuangalia week iliyopita kulikuwa na nini, nani amefanya vyema na nani ameharibu. Week hii tunaangalia mionekano ya nywele na makeup kutoka kwa watu maarufu mbalimbali akiwepo Hamisa…

Mitindo

4 Times Hamisa Mobetto Showed Us How To Rock Denim 

Ni Ijumaa nyingine tena na tunakuletea segment ya Drip Vibe Check ambapo hapa tutakuwa tunaangalia outfit mbali mbali za wasanii na namna ambavyo wamezivaa. Since tumeanza segment mwisho wa week tumeona sio mbaya tukimleta mwanamitindo, video vixen, mwanamuziki lakini pia ni mjasiriamali Hamisa Mobetto. Leo…