How To Elegantly Hold (Carry) A Clutch
Unamtoko wako wa kubeba clutch unayo nzuri umevaa mavazi yako vizuri umependeza hasa, lakini sasa unabeba ile clutch kama unabeba gunia au handbag ya kazini au ya kwendea clinic. Clutch ni bags ndogo na usually ni classy bags maana ni za mitoko hasa ya usiku,…
Je Ni Sawa Kuweka Handbag Yako Mezani?
Dear ladies, unavyobeba handbag yako inaonyesha/kusema vingi kuhusu wewe in terms of personality / style lakini pia inaonyesha tabia yako. Kuna vitu vidogo ambavyo huwa hatuvitilii maanani au kutokuona maana yake lakini kumbe vinaonyesha / kusema vitu vikubwa kuhusu sisi hasa kwa wale ambao wanajua…
Zara Quilted Chain Strap Shoulder Bag Inavyotrend Kwasasa
Imekuwa muda mrefu toka tuwaletee vitu vinavyotrend Duniani kwasasa well we are back na kuanza tunaanza na hii bag kutoka katika kampuni ya mavazi ya Zara. Kama wewe ni mpenzi wa handbag na hujui bag ipi ipo kwenye trend basi leo tunakuletea hii kwa ajili…
Vitu 5 Ambavyo Havikosekani Katika Bag Ya Tiwa Savage
Mwanamuziki kutoka Nigeria Tiwa Savage ambae kwasasa anatamba na wimbo wake wa somebody’s son ameshare vitu vitano ambavyo huwezi kuvikosa katika handbag yake. Katika episode yake ya CATCHING UP WITH TIWA: Episode 1/5, Tiwa ametaja vitu hivyo ambavyo ni cell phone, charging wire, lip gloss,…
Njia Za Kujali Handbag Yako Idumu Muda Mrefu
Kama ambavyo unaweka cover na protector katika simu yako ili isiharibike na iweze kudumu kwa muda mrefu, na kama ambavyo unatunza vitu vingine kama mavazi, viatu na jewelries basi vivyo hivyo na handbag zinatakiwa kujaliwa. Wengi huwa tunajisahau katika kujali handbag zetu. Leo tunakupa Tips…
Jinsi Ya Kufanya Mkoba Wako Unukie Vizuri
Tunahifadhi vitu vingi kwenye mikoba na hii upelekea kuleta harufu ndani ya mikoba hii, mchanganyiko wa vitu tunavyo hifadhi na hili joto vikikutana basi inaleta tafrani na inawezekana ukaona aibu kufungua mkoba wako mbele za watu. Kuna namna mbali mbali rahisi za kufanya mkoba wako…
Fashionista Siskikii Akituonyesha Namna Tofauti Za Kubeba Mini Bag Trend
Mini ( Tiny ) Bag trend bado inaendelea, watu maarufu mbalimbali wameonekana kuvutiwa nazo na hii ina include watu maarufu kutoka Tanzania. Mwanadada anaekuja kwa kasi katika upande wa fashion Sishkikiki nae ameonekana kuvutiwa na trend hii ambapo yeye tumeona akibeba pochi hizi kwa namna…
Jacqueline Mengi Atuonyesha Namna 3 Za Kubeba Handbag
Jacqueline Ntuyabaliwe ni moja kati ya watu maarufu ambao tunaweza kusema handbag collection yake ni Goals, from Channel to Dior you name it. Kitu ambacho sisi kimetuvutia kwake ni namna ambavyo ana beba handbag zake. Ana class ways ambazo huwa ana beba handbag sio kama…
Stylist Vaazi Handbag Collection Is Goals
Hivi karibuni mitizamo katika ubebaji wa mikoba kwa wanaume umebadilika, zamani kulikuwa na aina fulani za mikoba ambayo ilikuwa ikijulikana hii ni kwa wanaume na mingine ni kwa wanawake. Lakini sasa hivi yoyote anaweza kubeba chochote. Tumeona katika fashion weeks nyingi wanaume wakiwa wamebeba handbags…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…