Celebrities Showed Us How To Look Chic In Denim
Watumaarufu wengi hupenda kuonekana kwenye mionekano ambayo ni ya tofauti kidogo, wengi wanapenda kuwa wa kwanza kuvaa mavazi ya aina fulani au kuonekana kwenye zile occasional looks. Lakini week iliyopita imekuwa tofauti kidogo tumewa-spot watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevalia denim looks ambazo hata mtu wa…
Best And Worse Dressed Celebs From Last Week
As usual inapofika Jumatatu tuna-round up looks kutoka week iliyopita ya nani alivaa nini na kama alipendeza au Lah!., Well kutoka week iliyopita tumeona mionekano tofauti tofauti kuna ambao walipendeza, walikuwa kawaida na walio haribu hapa tunaangalia wale waliopendeza zaidi. Rosed Makeup in detached skirt…
Former Miss Tanzania For Beauty Legacy Gala Photoshoot
Walimbwende wa zamani kutoka Miss Tanzania wamefanya photoshoot ya Tamasha la Beauty Legacy Gala Tanzania 2020. Utakuwa unajiuliza Tamasha hilo linahusiana na nini “Miss Tanzania 2000, Mjasiriamali na Muasisi wa Dr. Ntuyabaliwe Foundation, Ms.Jaqueline Mengi ameanzisha tamasha la harambee la The Beauty Legacy Tanzania 2020…
Happiness Magese Bossing Up In Blue Suit
Happiness Magese is not here to play, sis is slaying look after look and we aint mad at all. Week hii tumemuona na hii blue suit akiwa ameenda katika #WOMENHEALTHTALK2021 Alichagua muonekano wa blue head to toe, alivaa powerful blue suit, viatu vya blue akabeba…
Wema Sepetu Na Happiness Magese Wakituonyesha Namna Ya Ku-Slay In Pajama’s
Its Furahi day na inawezekana upo bored lakini unataka kuonekana well putted together, labda ume-alika marafiki zako nyumbani au hata unamtoko ambao ni casual na hujui cha kuvaa, Wema Sepetu na Happiness Magese wametuonyesha namna ambavyo unaweza kuvaa pajama na bado uka-slay. STREET STYLE: PAJAMA…
Beauty Looks Served From Last Week
New Day, New Week, Same Hustles.. Heri ya week mpya afromates na kama ilivyoada huwa tunaanza week kwa kuangalia week iliyopita kulikuwa na nini, nani amefanya vyema na nani ameharibu. Week hii tunaangalia mionekano ya nywele na makeup kutoka kwa watu maarufu mbalimbali akiwepo Hamisa…
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish
Kwa wanawake warefu huwa ni shida kidogo kupata nguo zinazo wafaa ambazo ni stylish na hii hutokana na kwamba brands nyingi za mavazi huwa zina consider kimo fulani cha binaadamu na kusahau wale wengine ambao wamejaaliwa urefu au mwili mkubwa. Hivi karibuni mwanamziki Megan Thee…
Beauty Legacy Gala 2020 Fashion Review
Mwanadada Jacqueline Mengi ambae alikuwa Miss Tanzania mwaka 2000 aliandaa Beauty Legacy Gala ambayo ilikusanya warembo mbalimbali wa miaka tofauti tofauti. Theme ya event ilikuwa ni high tea. Tukiongelea high tea ni chakula kinacholiwa jioni ila hiki ni lightly meal yaani chai na cakes, scones…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…