Muonekano Mpya Wa Harmonize
Ni miaka kadhaa imepita toka tumuona mwanamuziki harmonize akiwa na hairstyle mpya, amekuwa aki-rock low cut normal hairstyle kwa muda mrefu, tunakumbuka mara ya mwisho tumemuona na blond hairstyle ilikuwa miaka mitano nyuma ambapo alikaa nayo muda mrefu tukataka kuiimbia hair style hii happy birthday….
Harmonize Spotted With Fake Nike Boxer
Hakuna kitu kina scream cheap kama fake designers iwe kwa mtu maarufu au mtu wa kawaida, unaweza kusema Afro tufanyaje kama hatuwezi ku afford hivi vitu na tunavipenda, the best unaweza kufanya ni kununua replica au nunua kitu kinachoendana na cha designer ila kisiwe na…
Bold And Stylish Suit Looks From Last Week
Week iliyopita hakukuwa na mambo mengi sana hasa upande wa watu maarufu wakike Nchini, lakini kwa wakaka inaonekana kama wamepania mwaka huu, well tumeona baadhi ya watu maarufu wakiume ambao walikuwa wamevalia suit zikiwa bold na ku-make statement kwa namna moja au nyingine. Tumemuona mbunifu…
Martin Kadinda On Harmonize & Kajala’s Engagement Day Looks
AFS: So the one and only MK umeweza simamia the #Harmojala late lunch turned into engagement party kuanzia mavazi hadi decor. Kwanza hongera sana na je the whole event coming to life, ilikuwa ni a planning na execution ya muda gani in both decor and outfits? Martin:…
Big Pendant Necklace’s Are The New Choker’s
Wenzetu huwa wanasema “Go Big Or Go Home”, inaonekana wasanii wetu wanalitilia mkazo hili kwasasa linapokuja swala zima la mikufu na vidani vyake. Tumeona wasanii mbalimbali kutoka Africa wakiwa wanavalia mikufu yenye vidani vikubwa vyenye maandishi au picha mbalimbali inategemea na mapenzi yake. Kwetu Tanzania…
Star & Rich Harmonize Spotted Wearing Fake Gucci Suit
I’m Star & I’m Rich ni moja ya mstari uliopo katika wimbo wake mpya wa outside, katika video ya wimbo huu mwanamziki Harmonize ameonekana akiwa amevalia hii fake / inspired Gucci Logo suit. Kutokana na mistari yake hio tukaona twende deep deep tuone kama hii…
Miriam Odemba & Lilo Aderogba Wawatolea Uvivu Wanaovaa Vitu Fake
Tulishawahi kuongelea kuhusu watu maarufu kuvaa fake designers, na tulipata maoni yenye pande mbili kuna ambao walisema ni sawa na kuna ambao walisema si sawa. Well kuvaa fake designers kunaweza kumshushia msanii kwa kiasi kikubwa pale tu umma utakapo notice na kumuweka hadharani kwamba alichovaa…
Kuna Tofauti Kubwa Kati Ya Kutengeneza Na Kuunda
Kupitia Account yake ya Instagram Mbunifu wa mwanamuzi Juma Jux, Mgombelwa Brand awataka wabunifu wenzie kujua tofauti ya kutengeneza na kuunda, mbunifu huyo ambae alipost video ya Jux akiwa amevalia vazi alilolibuni kwakutumia hereni na leather huku akiandika maneno haya Well Afromates tulishamuona Harmonize akiwa…
Jay Styles Tz Ajibu Tuhuma Kuhusu Mionekano Ya Konde Gang
Week hii hot story ilikuwa kuhusu mionekano ya wasanii kutoka katika music label ya konde gang, ambapo watu mbalimbali walionekana kukosoa mionekano yao. Tulimtafuta stylist wa label hii ambae amejibu tuhuma hizo. Na kusema kwamba msanii anatakiwa kuwa tofauti well #afromates angalia hapo chini na…
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…