SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Reviewing Dida Shaibu Wedding Dress 

Mtangazaji kutoka Wasafi Bi. Dida Shaibu jana amefunga ndoa, ambapo alichagua kuvaa sheer high neck mermaid dress kutoka kwa designed by shuu. Kama ma-bibi harusi wengine, Dida alipendeza sana. Alimalizia muonekano wake na head gear na drop earrings. Tumependa namna alivyoonyesha skin without showing too…