Looks At The Queen Charlotte Movie Premiere
Nigerian, South Africans, Kenyan & Tanzanian celebrities walikutona katika Premiere ya movie ya Queen Charlotte huko Nchini, South Africa. Watu maarufu wengi walihudhuria event hii huku theme ya mavazi yao ikiwa Georgian Era ambapo ni mavazi ambayo yataonekana kwenye movie hio pia. Baadhi ya watu…
Reviewing The Kid You Know Album Release Looks
Jumamosi iliyopita ilikuwa album release ya msanii Marioo, ambapo aliamua kufanya event pale Mlimani City na kuhudhuriwa na watu maarufu na fans wake. Well kama kawaida yetu tuliangalia nani amevaa nini na Je kapendeza au lah? Bado tunaona kuna tatizo la kujua cha kuvaa kutokana…
Reviewing Bongo Star Search Red Carpet Looks
Siku ya jumanne kuamkia jumatano ambapo ulikuwa mkesha wa Christmas, shindano na bongo star search 2019 lilifikia taamati ambapo tulipata mshindi ambae ni Meshack Fukuta. Well wakati wengine walikuwa wanaangalia kujua nani atachukua ushindi sisi tulikuwa tukiangalia nani alivaa nini na hizi ndio two cents…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…