SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Wateja Wanachangia Kudumisha Sekta Ya Mitindo Nchini 

Imekuwa kawaida yetu kuchukua muda kutafuta nini kinakwamisha Tasnia ya mitindo Nchini na nini kifanyike ili kuondoa changamoto hizi zinazosababisha kudorora kwa sekta hii mahsusi duniani kote. Mara nyingi tumekuwa tukilalamikia stylists na wabunifu kuhusu kukosa ubunifu na upekee katika kazi zao, wabunifu wanacopy (kunakili)…

Mitindo

Kwanini Tunakuza Wanamitindo Masikini? 

Tukiwa tunaingalia Tasnia ya mitindo na urembo unaweza kuona wanamitindo (models) wana play part kubwa sana kukuza Tasnia yetu hii, Wabunifu wanawatumia wao kutangaza kazi zao, makeup artist vile vile, hair stylist pia, wanamuziki wanawatumia haohao models lakini kwa bahati mbaya ndio watu ambao hawana…

Mitindo

Wanamitindo 8 Walifanya Vizuri 2018 

Slay, baby, slay. Tasnia ya mitindo, tukifocus katika modeling imetoka mbali, enzi za Miriam Odemba na Frank Gonga na twaiona ikiendelea kukua ikiwa na machipukizi wengi wazuri kama Smayra Mohammed na Symon Poluse. Stylist, Fashionistas, Photographer & Makeup Artist Tunaotegemea Makubwa Kutoka Kwao 2019 2018…