Shoes We Spotted Last Week
Tunajua vazi halikamiliki bila ya viatu na viatu vinaweza kufanya vazi lako liwe zuri au viharibu, mara nyingi huwa tunasahau hili swala kwamba viatu vina play part kubwa katika mionekano yetu. Week iliyopita watu maaru mbalimbali iwe ni fashionista’s, wanamuziki au waigizaji walipost picha zao…
Platform Heels Are Having A Moment
Mnakumbuka layzon vile viatu vina sole kubwaa walikua wanavaa zamani? Well zimerudi kwenye trend lakini this time zikiwa modified vizuri na kuweza kuvalika kisasa.Tunachopendea hii trend ni kwamba ata ambae hawezi kuvaa viatu virefu anaweza kuvaa hivi viatu maana sole yake ni pana inakuwezesha kutembea…
Wedding Guest’s Looks From Nandy & Billnass’s Wedding
Week iliyopita Jumamosi ya tarehe 16.7.2022, Mwanamuziki Billnass na mpenziwe Nandy walifunga ndoa, na ni moja kati ya ndoa ambazo zimetikisa Nchi kwa namna moja au nyingine. Ikiwa ni harusi ya watu maarufu basi watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika shehere hii na hapa tunaangalia wahudhuriaji…
6 Beauty Looks From Last Week
Ukiachana na kwenda kwenye events, iwe photoshoot au kuamua tu kujipenda wenyewe watu maarufu wamekuwa wakituonyesha namna ambavyo makeup artist huwa wanacheza na nyuso zao. Tunapenda kwamba kila mmoja wao kapewa look yake binafsi na sio kila makeup ya huyu inafanana na huyu. Lakini pia…
Reviewing Looks From Drama Queens
Siku ya Jumapili iliyopita kulikuwa na sherehe ya moja ya member ya group inayojiita drama queen ( Irene Uwoya, Wema Sepetu, Kajala Masanja, Aunty Ezekiel, Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael). Sherehe hii ilikuwa ya mtoto wa Irene Uwoya na wenzie walienda ku-show support, walichagua Nigerian…
Irene Uwoya Spotted In Fendi First Bag & Shoes
Tumemuona muigizaji Irene Uwoya akiwa amevalia set ya Fendi First Bag & Shoes, Bidhaa hizi kutoka fendi zimekuwa debuted katika Fendiβs Fall/Winter 2021 Ready-to-wear Collection mapema mwaka huu. Na kwa utabiri wa fashionista’s wengi hizi bidhaa za Fendi zitaishika dunia kama ambavyo tuliona Bottega Bags &…
Peek A Boo Denim Affairs
Hizi jeans zimeonekana kupendwa kwa muda sasa, mwishoni mwa mwaka jana tuliona influencers mbalimbali Nchi za wenzetu wakiwa wanazivalia lakini kwa sasa imeonekana kufika Tanzania na watu maarufu na fashionista’s mbalimbali kuvutiwa nazo. Ni suruali ambazo kwa nyuma kama zinauwazi, zinaonyesha kama yaliyomo yamo. Hizi…
Reviewing Looks From Didah Shaibu’s Reception
Didah ameolewa week kadhaa nyuma, lakini reception yake ilikuwa jana. Sherehe ilifanyika mlimani city na sale ya siku hii ilikuwa royal blue na watu waliitendea haki haswa japo kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani. Well tuanze na maharusi. Bwana na bibi harusi walivalia white, Bibi…
Celebrities Showed Us How To Look Chic In Denim
Watumaarufu wengi hupenda kuonekana kwenye mionekano ambayo ni ya tofauti kidogo, wengi wanapenda kuwa wa kwanza kuvaa mavazi ya aina fulani au kuonekana kwenye zile occasional looks. Lakini week iliyopita imekuwa tofauti kidogo tumewa-spot watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevalia denim looks ambazo hata mtu wa…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se⦠https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…