Christmas Slayage From Tanzania’n Stars
Week iliyopita kulikuwa na sikukuu ya Christmas ambapo baadhi ya watu maarufu walitoa picha zao ambazo zinaonyesha mionekano yao huku wakiwatakia wa-Tanzania sikukuu njema. Tunaweza kusema wengi wao walipendeza sana na kujitahidi katika mionekano yao, rangi ambayo ilitawala ilikuwa nyekundu. Muigizaji Kajala Masanja alikuwa kwenye…
Jacqueline Mengi, Elizabeth Michael And Toke Makinwa In Organza style dress
Its Furahi day na kama kawaida huwa tuna Friday Fashion Battle Field. Leo tupo na Mwanamitindo Jacqueline Mengi, Muigizaji Elizabeth Michael Na Radio Personality kutoka Nigeria Toke Makinwa wakiwa wamevalia hii Organza style dress. Kwa wale mnaojiuliza organza ni nini hii ni combination ya fabrics…
Former Miss Tanzania For Beauty Legacy Gala Photoshoot
Walimbwende wa zamani kutoka Miss Tanzania wamefanya photoshoot ya Tamasha la Beauty Legacy Gala Tanzania 2020. Utakuwa unajiuliza Tamasha hilo linahusiana na nini “Miss Tanzania 2000, Mjasiriamali na Muasisi wa Dr. Ntuyabaliwe Foundation, Ms.Jaqueline Mengi ameanzisha tamasha la harambee la The Beauty Legacy Tanzania 2020…
Jacqueline Mengi Atuonyesha Namna 3 Za Kubeba Handbag
Jacqueline Ntuyabaliwe ni moja kati ya watu maarufu ambao tunaweza kusema handbag collection yake ni Goals, from Channel to Dior you name it. Kitu ambacho sisi kimetuvutia kwake ni namna ambavyo ana beba handbag zake. Ana class ways ambazo huwa ana beba handbag sio kama…
Beauty Legacy Gala 2020 Fashion Review
Mwanadada Jacqueline Mengi ambae alikuwa Miss Tanzania mwaka 2000 aliandaa Beauty Legacy Gala ambayo ilikusanya warembo mbalimbali wa miaka tofauti tofauti. Theme ya event ilikuwa ni high tea. Tukiongelea high tea ni chakula kinacholiwa jioni ila hiki ni lightly meal yaani chai na cakes, scones…
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…