Beauty Looks Spotted From Last Week
Kitu kimoja kuhusu ku-keep with celebrities ni kwamba hakuna kupoa wala kuboha, hasa katika swala la mitindo na urembo, mara zote huwa wanahakikisha kutu-update na mionekano yao na mara nyingi huwa wanapendeza sana. Week hii haikuwa na sherehe nyingi lakini hii haikuwazuia watu maarufu kupendeza…
Celebrities Eid Beauty Looks
Jumamosi ilikuwa ni sikukuu ya Eid ambapo waislam wamemaliza kufunga mfungo wa Ramadhani na kusheherekea sikukuu hii, kama ilivyo kawaida watu maarufu wengi huwa wanapost picha zao katika mitandao ya kijamii kuwatakia wafuasi wao sikukuu njema. Na icho ndicho kilichotokea sikukuu hii ya Eid ambapo…
Beauty Looks Spotted From Last Week
Ukiachana na matatizo madogo madogo waliyo nayo makeup artist wanakazi kubwa sana katika kuwaweka watu maarufu katika hali nzuri hasa upande wa sura, kizuri zaidi ni namna sasa hivi wanapatia rangi za makeup kuendana na rangi ya mteja lakini pia kujua makeup gani inaendana na…
Makeup Looks Spotted Last Week
Last week kulikuwa na mengi kuanzia birthday za watu maarufu mbalimbali, mitoko ya hapa na pale na wengine waliamua tu kujipendezesha. Well tumeona kwasasa watu maarufu wengi hawapost full looks lakini wanahakikisha kupamba page’s zao katika mitandao ya kijamii kwa ku-post beauty looks zao. Week…
Reviewing Looks From Drama Queens
Siku ya Jumapili iliyopita kulikuwa na sherehe ya moja ya member ya group inayojiita drama queen ( Irene Uwoya, Wema Sepetu, Kajala Masanja, Aunty Ezekiel, Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael). Sherehe hii ilikuwa ya mtoto wa Irene Uwoya na wenzie walienda ku-show support, walichagua Nigerian…
Jacqueline Wolper Kuhusu Kurudia Outfit Kwenye Engagement
Jacqueline Wolper amekuwa engaged siku za hivi karibuni na baba watoto wake Rich Mitindo, lakini imeonekana nguo alizovaa alishawahi kuvaa katika engagement yake na Chidy Design, tumemuuliza kimetokea nini na haya ndio yalikuwa majibu yake Afro: Okay tumeona watu wana compare outfit Outfit zako za…
Jacqueline Wolper 5 Looks For Her Maternity Photoshoot
Jacqueline Wolper na mpenzi wake Rich Mitindo wameachia picha za maternity photo shoot yao, they gave us choices wamekuwa na look 5 tofauti ambapo kulikuwa na athleisure looks na glitz & glam wakiwa wamevalia sparkly glittery sequins Athleisure walikuwa na look mbili, matching sweat pants…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…