Magauni 3 Aliyovaa Jennifer Lopez Katika Harusi Yake Na Ben Affleck
Wanasema true love never dies enhe? baada ya miaka kadhaa, ndoa kadhaa na mahusiano kadhaa ku-fail Ben Affleck na Jlo wamerudiana na kufunga ndoa. Jlo na Ben Affleck walifunga ndoa hii katika nyumba ya Ben Affleck iliyopo Georgia. Jlo alivalia magauni matatu ambayo yote yalitoka…
Wasanii Jifunzeni Kutoka Kwa Jlo, Lagy Gaga Na Demi Lovato
Jana ilikuwa siku ya kuapishwa kwa rais mpya wa marekani Dr. Joe Biden, watu maarufu mbalimbali walialikwa kutumbuiza katika sherehe hiyo. Watu kama Lady Gaga, Jennifer Lopez na Demi Lavato walitumbuiza katika siku hio, na kilicho tuvutia mpaka tukafikia kuandika hili andiko ni mavazi yao….
Toke Makinwa Na Mbunifu Tolu Bally Wategemee Kupelekwa Mahakamani Na Versace
Imekuwa kawaida sasa kwa wabunifu kuwa wana copy-iana kazi zao, sikuhizi hatuiti copying bali tunasema kuwa inspired, hivi karibuni brand ya Versace imewashtaki brand ya Fashionnova kwa ku-copy hili gauni ambalo ni Iconic dress kutoka katika brand yao. Fashionnova Yashtakiwa Na Versace Kwa Kucopy J…
Fashionnova Yashtakiwa Na Versace Kwa Kucopy J Lo’s Iconic Jungle Print Dress
Imekuwa kawaida ya kampuni za fast fashion ku-copy design za wabunifu wakubwa na kuziuza kwa bei ya chini, moja ya makampuni yanayasifika kwa kufanya hivi ni Fashionnova. Watu maarufu mbalimbali wamekuwa wakilalamikia hii tabia ya brand hii mmoja ya watu maarufu ambao walijitokeza na kuwasema…
Judith Leiberny Stack Of Cash Clutch Ndio Accessory Pendwa Kwa Sasa
Watu maarufu wananamna ya kufanya vitu vi-trend, kuna season ambapo unakutana na kitu cha aina fulani kimevaliwa au kubebwa na asilimia kubwa ya watu maarufu hapo ndipo unajua hichokitu kina trend kwa sasa. Na season hii ambacho tumekiona kinatrend ni hii clutch kutoka kwa mbunifu…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…