Beauty Looks Spotted Last Week
One thing ambayo watu maarufu kwasasa huwezi kuwakuta wakiwa hawaja pendezesha nyuso zao, they always bring the A game when it comes to makeup and skincare, well week iliyopita tumewaona Irene Uwoya, Wema Sepetu, Tessy Chocolate, Jihan Dimack, Meena Ally na Batuli wakiwa kwenye makeup…
Hamisa Mobetto, Elizabeth Michael & Jihan Dimack Serving Looks
Imekuwa muda toka tupate kuona watu maarufu wakitoka kwenda kwenye event usiku, seems like this week event zilikuwa nyinginyingi na wengi wali-attend, well we have 3 looks ambazo zimeonekana kupendwa na ku-trend sana katika mitandao ya kijamii. Tunae Elizabeth Michael ambae alivaa purple & gold…
Jihan Dimack, Sylivia Bebwa & Gigy Money Serving Lewks
Week iiyopita ilikuwa na events mbalimbali, watu maarufu wengi walionekana kuhudhuria event hizo na hapa tunawaona wadada hawa watatu ambao tulipenda mionekano yao. Miss Tanzania 2019/2020 Sylivia Bebwa was all shiny in Mac Couture ball dress, tumependa hii look on her, and this is how…
Best Dressed At I Am Zuchu Event
Its been a while toka Tanzania tuwe na event kubwa ambayo imewakutanisha wasanii mbalimbali pamoja, Jumamosi kuikuwa na event ya msanii kutoka katika label ya wasafi classic baby Zuchu ambapo alikuwa anatoa shukrani kwa mapokezi aliyoyapata. Kwanza tuanze kwa kusema finally, tumepata event ambayo red…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…