SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

A Sneak Peek Into Jojo Gray’s Perfume Collection 

Unapovaa na kupendeza unatakiwa ku-take kunukia serious pia, huwezi kuwa umevaa unavutia halafu ukisogelewa unanukia personal (lol), moja kati ya slayer mzuri kabisa Tanzania mwanadada Jojo Gray ametuonyesha ni kiasi gani yupo serious kwenye swala la kuvaa na hygienne. Kupitia insta story yake Jojo alishare…

Urembo

Beauty Looks Spotted Last Week 

Kuna ule msemo unasema face card never decline, week hii tumeona watu maarufu wengi wakiwa kwenye mionekano mizuri ambapo wengi wame serve face na makeup zao pamoja na hair styles za kuvutia Ambacho kinatuvutia kwasasa ni kwamba watu wengi maarufu wamejua umuhimu wa makeup na…

Mitindo

Best Dressed Celebrities From Last Week 

Week iliyopita kulikuwa na sherehe mbalimbali kuanzia sikukuu ya Eid, Birthday’s na harusi, watu maarufu walihudhuria shughuli mbalimbali na wengi wao walivaa kwa kupendeza. Leo tunakuletea wale ambao tuliona wamependeza na unaweza kuiga mshono kutoka kwao Tumemuona muigizaji Elizabeth Michael ambae alishehereka 28th Birthday yake…

Mitindo

Shoes We Spotted Last Week 

Tunajua vazi halikamiliki bila ya viatu na viatu vinaweza kufanya vazi lako liwe zuri au viharibu, mara nyingi huwa tunasahau hili swala kwamba viatu vina play part kubwa katika mionekano yetu. Week iliyopita watu maaru mbalimbali iwe ni fashionista’s, wanamuziki au waigizaji walipost picha zao…

Urembo

Makeup Looks Spotted Last Week 

Last week kulikuwa na mengi kuanzia birthday za watu maarufu mbalimbali, mitoko ya hapa na pale na wengine waliamua tu kujipendezesha. Well tumeona kwasasa watu maarufu wengi hawapost full looks lakini wanahakikisha kupamba page’s zao katika mitandao ya kijamii kwa ku-post beauty looks zao. Week…

Judge Afro

Quen Linna Totoo VS Jojo Gray 

Another Fashion Battle Field, hii segment tunawaletea Fashionista’s mbalimbali wa kiume na wa-kike ambao wamevalia mavazi yanayofanana na mtachagua nani ame-style vazi hilo vizuri zaidi. Week hii tunae Fashionista Jojo Gray na wifi yetu kutoka kwa mwanamuziki Dogo Janja, Quen Linna Totoo wakiwa wamevalia hii…