Style Mpya Za Jokate Zawashtua Mashabiki
Jokate Urban Mwegelo, wengi tunamjua kama kidoti au Jojo, Jokate ni moja kati ya watu maarufu walio tikisa sana kwa upande wa mitindo na wengi tulikuwa tunamuangalia kama inspiration yetu, well over the years style ya Jokate imebadilika mno, na tumepata maoni mengi kuhusu mionekano…
Best Dressed At Tanzania Music Awards 2021
Tuzo za Muziki Nchini Tanzania zimerudi na mwaka huu zilifanyika Jumamosi ya 2.4.2022 ambapo wasanii mbalimbali walihudhuria, wengine waliondoka na Tuzo lakini wengine wakiwa mikono mitupu. Hongera kwa wale waliojishindia na waliokosa wajitahidi zaidi mwaka huu. Jicho letu sisi lilikuwa kwenye mavazi kwa wale waliovaa…
Mahaumes Aongelea Kuhusu Kufanya Kazi Na Jokate Mwegelo
AFS: Tunaomba Tukujue Kwa Ufupi Mahaumes: Jina langu ni Mahaumes Patron born and raised in Dar. Started designing in 2017 AFS: Je Inspiration Behind Ile Gauni Ni Nini? Mahaumes: Inspiration yetu ilikua ni to present a woman in different ways like she can be working…
Reviewing Jokate Mwegelo’s Birthday Outfit
Aliyekuwa mwanamitindo na sasa ni mwanasiasa, Jokate Mwegelo juzi alisheherekea siku yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka 35, Jokate alifanya photoshoot kwaajili ya siku yake hii muhimu na sisi tupo hapa kufanya review ya muonekano wake katika photoshoot hio. alivaa suit ambayo ina flower detail…
Jokate Mwegelo, Martin Kadinda, Juma Jux Na Hemedy PHD Suited Up
The streets are giving us sharp looks in suit, tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevalia vazi hili. Kila mmoja wapo alipendeza na vazi hili, tumependa touch’s walizo ziongezea kwenye mionekano yao lakini pia namna ambavyo suit hizi ziliwakaa. Jokate looking sharp in Ki2pe suit. Juma…
Judging Wema Sepetu, Jokate Mwegelo & Gigy Money Makeup Looks
Katika ulimwengu wa mitindo uwezi kuwa umekamilika bila ya kitu cha ziada, kinaweza kuwa accessories, nywele au hata makeup. Na kwasasa tasnia inayofanya vizuri kwenye ulimwengu wa mitindo ni urembo, makeup, nywele, kucha vinapewa kipaumbele na wanawake wanapenda kuvipendezesha ilikukamilisha mionekano yao. Leo tutaongelea kuhusu…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…