Jina lake halisi ni Johary Japhary wengi tumemzoa kama Joujou House Of Style, ni stylist ambae amefanya kazi na watu maarufu wengi. Ukiachana na kuwavalisha watu Joujou ni fashionista herself. Sisi huwa tunapenda style zake zilivyotofauti na wengine na tunacho kipenda zaidi ni namna anavyo…