Kourtney Kardashian & Travis Barker’s Wedding In Italy
Finally Kourtney Kardashian na Travis Barker wamefunga ndoa huko Portofino, Italy. Kourtney na Travis walishafunga ndoa lakini ya kwanza ilikuwa ile normal one ambayo ilikuwa tu na watu wachache ila hii ya Italy ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki. Wedding theme ilikuwa Goth, watu…
The Kardashian Took Over Italy For Kourtnrey & Travis’s Wedding
Hii ndio ile hayawi hayawi mbona yamekuwa, haolewi mbona kaolewa. Kourtney Kardashian ni dada mkubwa wa The Kardashian ambae wengi hatukudhani kama sikumoja tutakuja kuona harusi yake but here we are. Well Kourtney ameshaolewa na mwanamuziki Travis Barker kwasasa wapo Italy kwaajili ya sherehe yao,…
Looks From Met Gala 2021
Wenyewe huwa wanaiita “fashion’s biggest night out,” the Met Gala 2021 ni fundraising benefit for the Metropolitan Museum of Art in New York City. Mwaka huu wa 2021 Theme ya event hii ilikuwa “In America: A Lexicon of Fashion, theme hii honors anything and everything…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…