SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Looks From Met Gala 2023 

The event ambayo huwa inasubiriwa sana kila mwaka ni Met Gala, hii event huwa inaitwa “fashion’s biggest night out” watu maarufu huwa wana dress kutokana na theme za event hio na mwaka huu ilikuwa “Karl Lagerfeld: A Line of Beauty”na Dress code ni “In honor…

Mitindo

Kim Kardashian Kikaangoni Tena 

Mfanyabiashara Kim Kardashian ameingia kwenye headlines tena kwa kuharibu Marilyn Monroe’s Iconic dress aliyoivaa kwenye Met Gala ya mwaka huu, kama una kumbukumbu nzuri Kim Kardashian alisema amejikondesha ili tu atoshe kwenye gauni hio, lakini ikaja kusikika kwamba hakuweza kuingia na gauni ilichanika ikabidi avalie…

Judge Afro

Kim Kardashian Na Gloves Beach 

Seems like Kim K ametu-prove kwamba ni wakati wa kusema bye bye kwa trend ya gloves, its been too much kila mtu kuvaa gloves mpaka sehemu zisizotakiwa kuvaliwa gloves. Pamoja na kuaminika na kuheshimika katika ulimwengu wa mitindo jana mwanadada huyu ametuacha mdomo wazi kwa…

Mitindo

Looks From Met Gala 2021 

Wenyewe huwa wanaiita “fashion’s biggest night out,” the Met Gala 2021 ni fundraising benefit for the Metropolitan Museum of Art in New York City. Mwaka huu wa 2021 Theme ya event hii ilikuwa “In America: A Lexicon of Fashion, theme hii  honors anything and everything…

Urembo

Kim Kardashian Blonde Eye Brows 

Kim K amekuwa ananew look, ambapo ameamua ku-breach eye brows zake. Hii si mara ya kwanza kwa Kim kufanya hivi amekuwa aki-breach eye brows zake pale ambapo ana photoshoot au anapotaka kubadilisha muonekano wake. Kupitia Instagram story yake Kim alituonyesha alivyoweka breach mpaka alipoitoa na…