Nancy E Isime Flaunting Her Dollar Nails
Dollar On Her Nails, Dollar On Her Nails In Ririโs Voice, TV host Nancy E Isime ambae ametimiza miaka 30 hivi karibuni ametudhihilishia kwamba yeye ni that rich auntie kwa kutumia $20 kama urembo kwenye kucha zake, $20 ni sawa na tsh 46,280. Nancy si…
Afya Na Matunzo Ya Kucha
Mikono, viganja na vidole ni kati ya sehemu muhimu katika mwili wa msichana. Mikono hutumika kufanya shughuli nyingi za nyumbani, shuleni na sehemu mbalimbali katika maisha kuanzia kutandika kitanda, kupika, kufanya usafi, kuandika, kujiremba pamoja na majukumu mengine mengi. Mikono isipotunzwa vizuri ni rahisi sana…
Cute Valentine Day Nail Art Ideas
Kuwa na mpenzi, mume au kutokuwa nae haikuzuii kujipendezesha siku ya valentines, kama wewe ni mmoja kati ya watu wanaosheherekea siku hii. Wengi huwa wanaseherekea siku hii kwa kutoka na wawapendao, familia, wapenzi au kutoka wenyewe, kupeana zawadi na kuvaa mavazi mekundu kama ishara ya…
Dondoo 3 Za Rangi Ya Kucha Kwa Vifundo Vya Vidole (Knuckles) Vyeusi
Kuna wale ambao wamezaliwa na vifundo vya vidole vyeusi naturally lakini kuna wale ambao vinasababishwa na kemikali kwa kutumia cream za kujichubua. Vyovyote ambavyo wewe umepata hizi knuckles nyeusi basi leo tupo hapa kukupa tips za rangi gani upake ili kuendana na hali hii. Epuka…
Kungโata Kucha Hupoteza Haiba Ya Urembo Wako
Ingawa inawezekana wengine wakaona kitu cha ajabu, lakini ukweli ni kwamba kukata kucha kwa meno ni jambo linalofanywa na watu wengi. Ni wazi kuwa si muda wote utakuwa na uhakika kuwa mikono yako ni safi na salama, hivyo inaweza kusababisha kujitafutia magonjwa ambayo yanaweza kuzuilika….
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda seโฆ https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…