Shilole Na Fahyma Walivyoshindwa Kutembelea Viatu Virefu
Wakati inaaminika watu wengi maarufu wanajua kutembelea viatu virefu, imekuwa tofauti kwa Fahyma na Shilole ambao week hii wameonekana kushindwa kutembelea viatu hivi. Sio dhambi hata kidogo kwa mtu maarufu au sisi wengine kushindwa kutembelea viatu hivi ila huwa inaleta picha tofauti pale ambapo mtu…
Jifunze Namna Ya Kutembea Ukiwa Umevaa Viatu Virefu
Afro mates kutembea ukiwa umevalia viatu virefu nacho ni kipaji au tunaweza kusema its an art, ambayo kila mtu anaweza endapo tu atajifunza. Kusema ni kipaji sio kwamba kuna watu ambao wamezaliwa nacho moja kwa moja wanajua how to walk in heels, wanachukua muda kujifunza…
Aina Za Viatu Unavyopaswa Kuwa Navyo Kujifunzia Kuvaa Viatu Virefu
Tumekuwa tukipata malalamiko mengi kuhusu wengi wetu kupenda kuvaa viatu virefu lakini tunashindwa kutembelea (no lies sisi wenyewe hili ni tatizo kwetu pia). Viatu virefu kama bado huja vi-master ni tatizo unaweza kuanguka, kujikwaa mara kwa mara, miguu kuuma, kutokuwa comfortable wakati unatembea etc. Muongozo…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…