Faida Za Nyanya Katika Ngozi
Linapokuja suala la kutunza ngozi na kupata ngozi yenye afya na yenye mvuto, mara nyingi huwa tunafikiria product za gharama kubwa za ngozi, lakini kumbe, suluhisho la ngozi yenye afya linaweza kuwa jikoni kwako. Nyanya, vito hivyo vyekundu vinavyopatikana mara nyingi katika saladi na michuzi,…
Faida 9 Za Sabuni Ya Ukwaju
Wengi wetu huwa tunatumia Tunda za ukwaju kwa matumizi ya kula, wengine tunapenda kutengenezea juice, wengine ice cream, kuweka katika chakula kama kinogesho nakadhalika. Lakini tunda hili pia hutumika kutengeneza bidhaa za urembo kama sabuni ambazo wengi wetu tumeonekana kuvutiwa nazo, lakini Je tunda hili…
Chunusi Na Matibabu Yake
Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujit-okeza kama viuvimbe/vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso,kifuani na hata mgongoni.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta au seli za ngozi zilizokufa au wadudu yaani Bacteria. Karibu asilimia 85 ya vijana kati…
Pata Kufahamu Madhara Ya Kutumbua Chunusi Na Namna Ya Kuacha Tabia Hio
Kutumbua chunusi na vipele ni tabia ya wengi ambayo husababisha makovu, wekundu na kusambaza bacteria (hupelekea matatizo zaidi ya ngozi) kwenye maeneo ya ngozi ambayo hayana matatizo. Japokuwa ni ngumu kutotumbua mchunusi unaokutazama, Fanya yafuatayo kila unapofikiria kutumbua chunusi Kutumbua chunusi kunaacha makovu.Kama ulikuwa hujui…
Ondoa Chunusi Kwa Kutumia Apple Cider Vinegar
Hakuna anayefurahia chunusi, na hakuna anayependeza akiwa na chunusi, Chunusi zimekuwa zikiwapata sana watu wenye ngozi za mafuta. Juhudi za kuteketeza mafuta yanayozidi kwenye ngozi zinahitajika kwani ndio chanzo kikuu cha chunusi. Leo na waletea Apple cider vinegar (siki ya apple) kama kipodozi asilia cha…
Fahamu Njia Za Kujitibu Vipele vya Chunusi Kwenye uso kwa njia za Asili
Kuna idadi kubwa ya watu wanao kabiliwa na tatizo la vipele vya usoni( Chunusi ). Kuwa na chunusi ni jambo lenye karaha sana, kwani linakufanya upoteze mvuto wako wa asili na hivyo kukukosesha raha.Zipo njia mbalimbali za asili zinazo weza kutumika kutibu tatizo la chunusi…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…