SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

Faida 9 Za Sabuni Ya Ukwaju 

Wengi wetu huwa tunatumia Tunda za ukwaju kwa matumizi ya kula, wengine tunapenda kutengenezea juice, wengine ice cream, kuweka katika chakula kama kinogesho nakadhalika. Lakini tunda hili pia hutumika kutengeneza bidhaa za urembo kama sabuni ambazo wengi wetu tumeonekana kuvutiwa nazo, lakini Je tunda hili…

Afya

Sababu Na Namna Ya Kukabiliana Na Chunusi Wakati Wa Hedhi 

Kula vyakula vinavyokupa afya kunaweza kukusaidia kutuliza ngozi yako, lakini kuna sababu zingine nyingi zaidi. Ukitambua milipuko mibaya kwa wakati mmoja kila mwezi, unaweza kuwa na kulipuka kwa homoni.Chunusi za hedhi husababishwa na mabadiliko katika homoni wakati wa mzunguko wako wa hedhi.   Kujua mzunguo wako…

Skin Care

Ondoa Chunusi Kwa Kutumia Apple Cider Vinegar 

Hakuna anayefurahia chunusi, na hakuna anayependeza akiwa na chunusi, Chunusi zimekuwa zikiwapata sana watu wenye ngozi za mafuta. Juhudi za kuteketeza mafuta yanayozidi kwenye ngozi zinahitajika kwani ndio chanzo kikuu cha chunusi. Leo na waletea Apple cider vinegar (siki ya apple) kama kipodozi asilia cha…