Namna 3 Za Kutumia Aloe Vera Kuondoa Madoa Katika Ngozi
Weekends ni muda mzuri wa kujijali mwenyewe, kwenda salon kuosha na kusafisha nywele, kujali kucha zako, kupumzika lakini pia ni muda mzuri wa kujali ngozi yako. Week nzima una amka asubuhi na kwenda kazini unatembea juani na kukosa muda wa kujijali ila inapofikia weekend basi…
Namna Ya Kuondoa Madoa Meusi Usoni Bila Kutumia Vipodozi Vikali
Kwanza kabisa naanza na kesi ya madoadoa mwilini. Iwe ya usoni yaliyotokana na chunusi au Sehemu zingine za mwili kutokana na upele, vidonda na kadhalika. Katika mazingira kama hayo ushauri ufuatao utakufaa: Kadiri muda unavyoenda ngozi yako Itakuwa inajitengeneza vizuri yenyewe na hivyo madoadoa hayo…
Jinsi ya Kutumia Limao na Asali kuondoa Madoa Usoni
Kumekuwa na sababu mbalimbali zinazofanya watu kutokuwa na ngozi zisizokubalika.Mbali na hali ya hewa pia matumizi ya pombe na sigara hata matumizi ya cream kali ambazo zimekuwa zikitumiwa na watu bila kujua madhara yake kumechangia kwa kiasi kikubwa tatizo hilo. Ulaji wa matunda na mboga…
Namna Ya Kuondoa Madoa Meusi Usoni
Madoa meusi (black spots) usoni ni jambo ambalo linawasumbua wanawake wengi sana na hupelekea mtu kutokujiamini na mara nyingine kujidharau, kujichukia na kukosa ujasiri wa kuwa bila ya make up “off make up”. Hili tatizo husabaishwa na vitu tofauti,hivyo kujua chanzo cha tatizo ni muhimu…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…