SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Quick Tip

Usisahau Shingo Katika Kujali Ngozi Yako 

Moja ya makosa yanayotokea mara kwa mara kwenye kupaka vipodozi, kujisafisha na kujali ngozi zetu huwa tunasahau sana kuijali ngozi ya shingo, unaweza kukuta ngozi kote ni nyororo na safi lakini shingoni ni pachafu na hapana mvuto kama wa sehemu nyingine. Ukiachana na kutokuwa na…

Urembo

Njia Za Kuondoa Weusi Shingoni 

Kuwa na rangi tofauti shingoni na mwilini huwa inakera unaonekana mchafu, hata kama una rangi au ngozi nzuri sehemu nyingine lakini ukiwa na shingo nyeusi huwa inaleta picha mbaya. Shingo nyeusi hutokana na kuisahau, unaweza kukuta tunafanya kila nyia kuwa na ngozi nyororo usoni na…