Namna Ya Kupata Ngozi Ng’avu Kiasili
Sote tunapenda ngozi ng’avu, lakini hatujui nini cha kutumia tuwe tu wang’avu bila ya kuchubua ngozi zetu, kama ukienda kwenye maduka yavipodozi utasikia wadada wengi wana taka kipodozi cha kuwang’aza lakini kwa bahati mbaya wengi wetu tunakosea hili neno kwa kuwa mweupe, mtu anapo sema…
Huwezi Kupata Ngozi Nzuri Kwakuwa Na Skincare Routine Tu
Watu wengi wamekuwa wakipotea hapa, tunakesha kuuliza kuhusu skin care routine za wengine, tunakesha kutafuta vipodozi vizuri vya bei ghali, inawezekana tukapata hivyo vipodozi lakini bado ngozi zetu zikaendelea kuwa na hali mbaya, kwakuwa tunasahau kwamba skincare routine ni moja ya sehemu 3 za kupata…
Tofauti Ya Lightening Na Brightening Katika Vipodozi
Kuna mkanganyiko mkubwa juu ya vipodozi vya ngozi ambavyo vinadai kuang’aza na / au kung’arisha ngozi, mara nyingi ikisoma katika maelekezo ya vipodozi hivi unaweza kukuta vimeandikwa lightening ( Kung’aza) Au Brightening ( Kung’arisha) hapa wengi huwa tunaona ni kitu kimoja lakini kumbe ni vitu…
Kwanini Upake Vipodozi Kwa Mpangilio Maalum
Inawezekana unavipodozi ambavyo vinafanyakazi vizuri tu lakini huoni matokeo mazuri katika ngozi yako, hii hutokana na sababu mbalimbali lakini sababu moja wapo ni kutokupaka vipodozi hivi kwa mpangilio mzuri. Kutokana na ushauri wa wataalamu “Inatakiwa uanze kupaka vipodozi ambavyo ni light weight ( vyepesi) ili…
Skin Do & Don’ts
Kuna vitu vidogo sana lakini ukiacha kuvifanya na kuna ambavyo ukivifanya vinaweza kuleta impact kubwa katika ngozi yako. Vitu vya kufanya: Kunywa Maji Safisha ngozi yako ya uso mara mbili, hii namaanisha osha uso wako mara mbili kila ambapo unaosha uso. Exfoliate taratibu Zingatia lishe…
Umuhimu Wa Kusoma Lebo Katika Vipodozi
Wengi wetu tunatumia vipodozi mbalimbali katika ngozi zetu, iwe kwa kuondoa kitu fulani au kukifanya kiwe bora zaidi. Imezoeleka kuwatunanunua vipodozi hivi kwa mazoea iwe kwa kuambiwa au kushauriwa na dakitari. Mara nyingi huwa tunasahau kusoma lebo na kuona hakuna umuhimu kwa sababu tu kipodozi…
Mambo Matatu (3) Ya Kuzingatia Ili Kupata Kipodozi Kinachoifaa Ngozi Yako
Kuchagua kipodozi sahihi ni jambo la muhimu katika swala zima la kutunza afya ya ngozi zetu. Kitu chochote tunachopaka kwenye ngozi ni muhimu zaidi ya vile tunavyo fikiri. Baadhi ya watu huchagua kipodozi kwa nia ya kutatua matatizo fulani ya ngozi zao, huku wengine huchagua…
Fahamu Vipodozi Vitakavyo Haribu Mwili Wako
Ni haki na ni vizuri kujipendezesha na kuwa na muonekano mzuri kwani muonekano wako ni sehemu ya moyo na maisha yako. Ukiwa na muonekano mzuri utachukuliwa kama ni mtu wa kuheshimiwa, kupendwa na kuthaminiwa. Ukiwa na muonekano mbaya inakuwa kinyume chake, labda uwe na vitu…
Detox Water For Clear & Glowing Skin
Tunapo sikia beauty start from with in haimaanishi tu kuwa na roho nzuri, lakini basi ni vitu ambavyo unakunywa na kula. Mara nyingi tunakula na kunywa vitu bila ya kujua madhara yake katika image yetu ya nje. Unaweza kuwa unakula kitu kumbe ndicho kinachozeesha na…
Boresha Muonekano Wa Ngozi Yako Kwa Kutumia Yai
Jinsi ya kufanya ukitaka kutumia yai kuboresha mwonekano wa ngozi: Chukua yai, changanya na asali kijiko kimoja cha chai, na mafuta ya Olive. Chukua mchanganyiko huo kisha paka usoni na shingoni; kaa hivyo kwa dakika 15. Hii itasaidia kama una mashimo usoni yanayotokea chunusi zinapochubuka….
HOT TOPICS
Ya’ll Can Talk About That Wardrobe Malfunction, But What I Want To Know Ni Kwanini Kapaka Mafuta Nusu Mguu Au Ni Ki… https://t.co/CV99NEPX6Y
FollowThis Is How It Looks Like Brand Ambassadors Waki Advertise Skin Care Na Filter Au Makeup Usoni https://t.co/yvzmN1zL7w
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…