Looks From Met Gala 2023
The event ambayo huwa inasubiriwa sana kila mwaka ni Met Gala, hii event huwa inaitwa “fashion’s biggest night out” watu maarufu huwa wana dress kutokana na theme za event hio na mwaka huu ilikuwa “Karl Lagerfeld: A Line of Beauty”na Dress code ni “In honor…
Fashionista Ms Ris Eddy Rocking Givenchy Shark Lock Boots
Givenchy Shark Lock Boots zilikuwa introduce mwaka 2012 na kampuni ya mavazi ya Givenchy ambapo wengine wanaziita “foldover boots” boots hizi zimekuwa updated mwaka 2020 baada ya Matthew M. Williams kuchukua nafasi ya creative director katika kampuni hio ambapo aliongezea Givenchy padlock juu ya boots…
Kylie Jenner & Irina Shayk Twinning Moment At Paris Fashion Week
The worse nightmare ambayo watu maarufu wengi huwa wanaiogopa ni kuingia sehemu hasa kwenye event kubwa ukiwa umevalia vazi ambalo mtu mwingine maarufu amevalia, hii amekutana nayo enterprenur Kylie Jenner na mwanamitindo Irina Shayk huko Paris ikiwa wote wakiwa wamevalia vazi la aina moja. Wakiwa…
Kourtney Kardashian & Travis Barker’s Wedding In Italy
Finally Kourtney Kardashian na Travis Barker wamefunga ndoa huko Portofino, Italy. Kourtney na Travis walishafunga ndoa lakini ya kwanza ilikuwa ile normal one ambayo ilikuwa tu na watu wachache ila hii ya Italy ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki. Wedding theme ilikuwa Goth, watu…
The Kardashian Took Over Italy For Kourtnrey & Travis’s Wedding
Hii ndio ile hayawi hayawi mbona yamekuwa, haolewi mbona kaolewa. Kourtney Kardashian ni dada mkubwa wa The Kardashian ambae wengi hatukudhani kama sikumoja tutakuja kuona harusi yake but here we are. Well Kourtney ameshaolewa na mwanamuziki Travis Barker kwasasa wapo Italy kwaajili ya sherehe yao,…
Vanity Fair Oscars After Part Worthy Looks
Baada ya event ya The Academy Awards “The Oscars” hufuatiwa na event nyingine kubwa ambayo imepewa jina la “Vanity Fair Oscars After party” hii ni baada ya Tuzo waalikwa wanaenda kuenjoy na ku-network. Oscars 2020 Red Carpet Looks Review Well huku napo kunakuwaga na red…
The Long Sleeve Glove Dress Trend
Trends haziishi katika ulimwengu wa mitindo na urembo, kila siku kuna jipya ambalo linaonekana kutokea na ku-catch attention ya watu. Well kwa sasa tunaona the long sleeve glove dress ndio ipo kwenye chat. Mwaka 2013 mwanadada Kim Kardashian alihudhuria katika zulia jekundu la Met Gala…
Namna Ambavyo Watu Maarufu Walivyotutakia Heri Ya Christmas
Christmas hii ilipambwa hasa, watu maarufu wengi walionekana kufanya photoshoot zenye theme ya rangi za Christmas ambazo ni kijani na nyekundu lets say most of them nailed their look.
Beyonce, Kylie Jenner And Kelly Rowland Prove That Gloves Are Back On Fashion
Gloves zilikuwa zinavaliwa miaka ya 50’s, ambapo wanawake walionekane classy kwa kuvaa gloves wakiwa wame-match na hat au bag. Lakini kwa sasa mtindo huu umeonekana kurudi katika chat thanks to celebrities ambao wameonekana kuurudisha. Usiku wa kuamkia jana watu maarufu walihudhuria katika hafla ya siku…
Judith Leiberny Stack Of Cash Clutch Ndio Accessory Pendwa Kwa Sasa
Watu maarufu wananamna ya kufanya vitu vi-trend, kuna season ambapo unakutana na kitu cha aina fulani kimevaliwa au kubebwa na asilimia kubwa ya watu maarufu hapo ndipo unajua hichokitu kina trend kwa sasa. Na season hii ambacho tumekiona kinatrend ni hii clutch kutoka kwa mbunifu…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…