5 Tips On How To Be Classy And Stylish According To Lavidoz
Moja kati ya watu maarufu ambao wengi wanawapenda kutokana na mavazi yao basi ni mwanadada Lavidoz, Lavidoz ana mwili wa kawaida ( sio ile miili ya kutengeneza) na bado anavaa na kupendeza. Ambacho wengi tunavutiwa nacho kutoka kwake ni kwamba japo havai mavazi ya ghali…
Celebrities Looks Over The Weekend
This week mitandao ya kijamii ilichangamka kutokana na watu maarufu mbalimbali ku-share picha zao katika account zao, wakiwa katika style mbalimbali za mavazi kuna ambao walikuwa casual, wengine walikuwa chic, wengine walikuwa wamehudhuria katika sherehe mbalimbali. Kama ilivyoada tupo hapa kukuletea nani alivaa nini na…
Corset Dress Mshono Unao-Trend Kwa Sasa
Kama unahudhuria harusi, una wedding reception, kitchen party au hata birthday party huu ndio mshono ambao unaonekana ku-trend kwa sasa Nchini kwetu na hata nje ya Nchi. Unaitwa Corset Dress, kama unajua ile mikanda huwa tunavaa kubana tumbo basi huu mshono upo inspired na ile…
Lavido,Lilian Afegbai & Laura Ikeji In White Ankle Tapered Suit
2020 ilikuwa na trend mbalimbali na moja wapo ambayo tumevuka nayo mpaka 2021 ni hii ya suruali ambazo zinabanwa miguuni, kuna ambazo zinawekwa hook na mkanda,kuna ambazo zinakuwa na elastic na zile zenye vifungo. Tumewaona fashionistas wawili kutoka Tanzania Lavidoz na kutoka Nigeria Lilian Afegbai…
Watu Maarufu Walivyoshiriki Katika Fresh Face Challenge
Kutokana na gonjwa hili la Corona watu wengi tumekuwa tukikaa nyumbani na kuto kwenda kokote kuepuka misongamano, sote tunajua kukaa nyumbani bila cha kufanya inakufanya utafute vitu vya kuku-entertain na imeonekana mtandao wa Tiktok umekuwa msaada mkubwa kwa wengi. Kuna challenge nyingi zimeanzishwa huko na…
Mid December Looks We Spotted From Tanzania Celebrities
December ni mwezi wa mapumziko, wengi hutumia mwezi huu kukaa na familia zao, lakini pia shopping na slayage huwa zinafanyika sana. Hii ni baadhi ya mionekano tuliyoiona toka mwezi huu uanze na ikatuvutia Msanii wa bongo fleva Faustina Charles Mfinanga A.K.A Nandy akiwa amevalia orange…
Nike Air Force 1 High Inavyo Trend Kwa Sasa
Kiatu ni moja kati ya kiungo muhimu kabisa katika kukamilisha muonekano wa mavazi yako, na kuonyesha kwamba hiki kiungo ni muhimu basi kama ukikosea ukakipunguza muonekano wako mzima unaharibika. Moja kati ya viatu vinavyopendwa Duniani ni Nike Air Force kutoka kwa Brand ya Nike, viatu…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…