Lilly Afe Channeling Her Inner Cardi B For Her 30th Birthday Photoshoot
Muigizaji na producer Lilian Afegbai kutoka Nigeria, ametimiza miaka 30 leo, kama ambavyo tunajua watu maarufu wengi hupenda kusheherekea siku zao za kuzaliwa kwakuvaa vyema na kufanya photoshoot. Kwa Lilly yeye aliamua kum-channel mwanamuziki Cardi B ambae alivaa hili vazi kutoka kwa mbunifu Man Fred…
Lavido,Lilian Afegbai & Laura Ikeji In White Ankle Tapered Suit
2020 ilikuwa na trend mbalimbali na moja wapo ambayo tumevuka nayo mpaka 2021 ni hii ya suruali ambazo zinabanwa miguuni, kuna ambazo zinawekwa hook na mkanda,kuna ambazo zinakuwa na elastic na zile zenye vifungo. Tumewaona fashionistas wawili kutoka Tanzania Lavidoz na kutoka Nigeria Lilian Afegbai…
Elizabeth Michael,Rihanna, Spice Diana Na Wengine Katika Color Blocking Trend
Week hii tumeona kilicho trend mtandaoni ni block colors trend, hii trend huwa inaenda na kurudi. Kuna ambao wanaipenda na kuna wengine ambao hawajawahi kuipenda, mmoja wapo akiwa blogger Missie Popular ambae alitamani hii trend isirudi tena “Afroswagga – Tutajie fashion trend ambayo huwezi kuijaribu…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…