Reviewing Hamisa Mobetto, Kajala, Nandy National Park Photoshoots
Utalii wa ndani unaonekana kukua siku mpaka siku, tunaona watu maarufu pamoja na wa Tanzania wakawaida wakiwa wanatembelea mbuga za wanyama na kupiga picha zinazo vutia wakiwa huko, leo tunaangalia watu maarufu zaidi je walivaa nini na je walipendeza au lah? Tuanze na Hamisa Mobetto…
Reviewing Linah’s Look Kwenye Kitchen Party Ya Nandy
Mwanamuziki Linah Sanga alikuwa moja ya watu maarufu waliohudhuria katika kitchen party ya Nandy, Linah alivaa hii nguo kutoka kwa mbunifu Allie Clothings. No shade to Allie maana tunajua kazi zake na yeye ndie aliyemvalisha Ammy Gal Tz, but this look kwa Linah was confusing….
Celebrities Hair Cut Inspiration
Katika kitu ambacho huwa kina-stress ni nywele, wakati mwingine unataka tu uwe na simple hair style ambayo haitokufanya uwe unahangaika nazo mara kwa mara. Na ndio maana kuna wakati unakuta baadhi ya watu maarufu mbalimbali wanaamua kukata nywele zao. Well leo tuna watu maarufu wanne…
Wrong Choice Of Fabric Means Wrong Outfit
Kwambunifu au fashionista swala la uchaguzi wa kitambaa linajulikana ni muhimu sana, tukiongelea kitambaa ndio msingi mkubwa wa ubunifu au vazi lako hata kabla ya designing. Unaweza kuwa na design nzuri lakini endapo tu kitambaa kitakuwa hakiendani na design yako basi lazima design nzima itaharibika….
Beauty Looks Of The Week
Tumeanza week nyingine, ni time ya kuwapa review ya week iliyopita, tumeona nini kime-trend na nani alipendeza na nani alikuwa mmh. Week iliyopita kilicho trend ni beauty looks, tumeona watu maarufu wengi wakiwa wamepost mionekano yao ya makeup and once again tunasema makeup artist wa…
Ramadhani Beauty Looks From Wema Sepetu, Linah Sanga, Lulu Diva Na Wengineo
Mwezi mtukfu wa Ramadhani umeanza, na kama ilivyo kawaida ya mwezi huu watu wengi hutumia muda wao kufanya yale yanayo mridhisha M/Mung kama kufnga, kujistiri na kufanya yale yaliyo mema. Ukifikaga mwezi huu huwa tunasubiri kuona transition ya watu maarufu kutonyesha namna wanavyoweza kutoka katika…
Tanzanian Celebrities Who Improved Their Style In 2019
2019 Imebakisha siku kumi na moja uishe kama ambavyo ilivyoada huwa tunakuletea report ya mwaka mzima, na mwaka huu tunaanza na watu maarufu ambao wamejiongeza mwaka huu na wakuwa watched mwakani. Gigy Money Gigy amekuwa katika list yetu ya wasanii wasiojiweza katika mavazi kwa muda…
Let’s Fix Linah Sanga’s Outfit
Leo tunafix hii outfit kutoka kwa mwanamuziki Linah Sanga, kutoka katika Instagram yake Linah Sanga amepost hii picha akiwa amevalia nice polka dot dress akiwa amemalizia na ombre wig, miwanai, sandals pamoja na accessories ndogo ndogo. Kwa muonekano wa mavazi na picha, Linah alitaka kuwa…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…