Kila mwanamke katika maisha yake huwa kwa namna moja au nyingine anafikiria kuolewa. Kuolewa ni moja ya ibada iliyodhihirishwa katika vitabu vitukufu vya dini tofauti. Na kila mwanamke anafurahi wakati anasubiri jambo hilo kwa hamu. Kama wewe ni bi harusi mtarajiwa na unataka utokee vizuri…