Soko la urembo linazidi kukua Duniani, tunaona makampuni mapya ya vipodozi yakizinduliwa siku mpaka siku, watu maarufu pia wanaonekana kuvutiwa na soko hili. Kama ilivyo kawaida kila jambao linapande mbili kuna wale watakao vutiwa nalo na wale ambao hawatotaka liendelee hata kidogo. Week chache zilizopita…