Majizzo’s Look At Tanzania Music Award
Weekend iliyopita kulikuwa na Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) watu maarufu wengi walihudhuria akiwepo mkurugenzi wa Radio na Tv ya EFM na TVE, well tupo hapa kumuongelea kuhusu muonekano wake siku hii. Majizzo aliingia na suit nzuri akaja kubadilisha wakati anatakiwa kumtangaza mshindi wa DJ…
2 Looks From Elizabeth Michael Maternity Photoshoot
Muigizaji Elizabeth Michael ambae alifunga pingu za maisha na mumewe Majizzo mwanzoni mwa mwaka huu. Majizzo Na Elizabeth wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume na katika kututaarigu kuhusu ujio huu wa mwanafamilia mpya waliachia matnenity photoshoot yao. Eliza alivalishwa na mbunifu Elisha Red Label ambapo alivaa…
Elizabeth Michael Na Majizzo Wedding Review
Ilikuwa surprise kwetu sote, Jumanne hii muigizaji Elizabeth Michael ( Lulu) Na mpenzi wake Francis Ciza ( Majizzo ) wamefunga ndoa. Ilikuwa ni sherehe iliyo hudhuriwa na watu wachache. Eliza alimtumia makeup artist Lavie Makeup, ambapo alimpa nude look, brow as usual zilikuwa on point…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…