Try These Celeb Inspired Eid Makeup Looks
Sikukuu ya Eid inakaribia na inawezekana umeshapata vazi lako au bado unatafuta, mara nyingi huwa tunajiandaa kimavazi na vyakula na tunasahau kuhusu looks zetu usoni, kutona na kufunga kwa mwezi mzima, kuchoka na mapishi ya hapa na pale sikukuu hii inaweza kukuta ngozi yako ikiwa…
Spotted Beauty Looks From Last Week
Iwe walikuwa kazini, kwenye mitoko na wapendwa wao au wamejipaka tu kwaajili yao wenyewe kwaajili ya nafsi zao, watu hawa maarufu walionekana kwenye mionekano ya kuvutia na makeup zao. Tumependa tulichokiona na efforts wanazotumia makeup artist kuwafanya waonekane warembo bila kupoteza ule urembo asilia wao….
Beauty Crush Elizabeth Michael
Tulianza kwa kumjua kama Lulu lakini sasa hivi anaitwa mama G, time flyies right? Well ukiachana kuwa muigizaji mzuri Lulu ni mpenzi wa fashion na urembo na kwasasa toka ametoka kujifungua amekua akitu-serve beauty looks back to back. Lulu anapenda kufanya makeup yake iwe simple…
Beauty Looks From Last Week
A round of applause kwa makeup artist na hair stylist wa Tanzania, we said it once and we will say it again makeup artist & hair stylist wanajitahidi sana katika kuhakikisha sekta yao inakua. Ukiachana na sekta hii kukua na kuwa na upcomings wengi bado…
Make Up Looks From Wema Sepetu, Anjella, Zuchu & Others
Kama kuna sekta tupo proud nayo kwa sasa ni sekta ya Makeup, makeup artist wanajituma sana kuhakikisha wateja wao wanaendana na makeup zao sio kama zamani mtu mweusi anapakwa makeup ya mtu mweupe. Well last week tumewaona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamepakwa makeup na makeup…
Rosey Manfere Serving Beauty
Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere amepost picha zake mpya katika ukurasa wake wa Instagram, katika hizi picha Rosey ametuonyesha uwezo wake wa ku-serve nothing but face & beauty. Rosey amevalia accessories kutoka kwa @gcina_culture_designer MUA @perfectglow_tzPhoto credits @pafectstudio Hair @mamaafrica_mua, we have to say, japo team yake wamejitahidi…
Ramadhani Beauty Looks From Tanzania’n Celebrities
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umeanza, na kwa sasa watu maarufu mbalimbali wamebadilisha mionekano yao. Ikiwa wengi wanavalia mavazi marefu leo tumejaribu kuangalia looks zao za makeup. Tumewaona Zuchu, Queen Darleen, Hamisa Mobetto na Meena Ally wakiwa na makeup nzuri zilizo tulia tumewaletea hapa in case…
5 Times Didi Olomide Served Nothing But Beauty
Didi Olomide ni mwanamitindo ambae ni mtoto wa mwanamuziki mkubwa kutoka Congo, Koffi Olomide. Kama unamjua Koffi utajua kuhusu mapenzi yake kwenye mitindo na namna ambavyo anakuwa wa tofauti. Lakini ukiachana na fashion lakini pia Koffi yupo vizuri kwenye kujijali na inaonekana kwamba mtoto wake…
3 Times Seline Official Served Us With Flawless Makeup
Seline ni mwanamziki kutoka Tanzania ambae japo hasikiki sana lakini anafanya mambo makubwa, moja ya kitu ambacho huwa kinatuvutia kwake ni makeup zake. Mara kwa mara huwa tunamuona na makeup iliyotulia iwe bold makeup au simple makeup. Tumechagua makeup looks zake nne ambazo zimetuvutia na…
Halloween Makeup From Tanzania Makeup Artist’s
Usiku wa Oktoba 31, ina semekana kuwa ni usiku wa Siku ya Watakatifu Wote, mara nyingi huadhimishwa na watoto kwa kuvaa masks za kuogopesha, Halloween inafikiriwa kuhusishwa na tamasha la Celtic Samhain,when ghosts and spirits were believed to be abroad Ifikapo October watu ambao husherehekea…
HOT TOPICS
The Hardest Part Of Being A Nigerian Bride Is To Comeup With A Bride Look That Wont Match With Any Of The Guest’s A… https://t.co/8vfNPS0IYg
FollowItaly Kumekucha Afromates #TheKardashian #TheKardashian wapo huko kwaajili ya the wedding of the year. Haya mnasubiri lo… https://t.co/kENoAG9RQg
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…