Timberland Boots Are Making A Comeback
Timberland boots zilikuwa founded mwaka 1973 na Nathan Swartz,kutokana na durability ya viatu hivi vilianza kujulikana na kuvaliwa na constructions workers, lumberjacks na wafanyakazi wa kazi nyingine ambazo zinahitajika viatu vigumu. Miaka ya 80 na 90 vikaanza kuvaliwa na watu wa kawaida na hii ilitokana…
Date Outfit Ideas From Tanzanian Celebrity Couples
Iwe mnasheherekea Anniversary, Date Night au First Date utataka uonekane vyema (upendeze), outfit yako inafaa kuwa chic na picture perfect (you don’t want to post bad looks on the gram right?), well leo tunakuleta outfit ideas kwaajili ya dates aina mbalimbali ambapo ideas tumetoa kutoka…
Marioo,Diamond Na Watu Maarufu Wa Kiume Hawajui Kuhusu Utunzaji Wa Mikono
Usafi wa mikono ni muhimu sana kwa binadamu, iwe mtu maarufu au wa kawaida, uwe wa kike au wa kiume wote tunatakiwa kuwa na mikono misafi, mikono misafi haichagui jinsia wala umri. Katika pitapita zetu kwenye mitandao ya kijamii tumeona wasanii wetu wakijitahidi kuvaa vyema,…
Wema Sepetu & Paula Failed The Assignment
Wema na Paula walihudhuria event ya Marioo ambapo alikuwa ana release album yake inayoitwa the kid you know. Event ilifanyika katika ukumbi wa mlimani city na wengi walihudhuria akiwepo chimama Wema Sepetu na Paula. Wema alivalia red & black outfit hii outfit ina mambo mengi…
Reviewing The Kid You Know Album Release Looks
Jumamosi iliyopita ilikuwa album release ya msanii Marioo, ambapo aliamua kufanya event pale Mlimani City na kuhudhuriwa na watu maarufu na fans wake. Well kama kawaida yetu tuliangalia nani amevaa nini na Je kapendeza au lah? Bado tunaona kuna tatizo la kujua cha kuvaa kutokana…
Wedding Guest’s Looks From Nandy & Billnass’s Wedding
Week iliyopita Jumamosi ya tarehe 16.7.2022, Mwanamuziki Billnass na mpenziwe Nandy walifunga ndoa, na ni moja kati ya ndoa ambazo zimetikisa Nchi kwa namna moja au nyingine. Ikiwa ni harusi ya watu maarufu basi watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika shehere hii na hapa tunaangalia wahudhuriaji…
How Celebrities Attended The Late Hon. Magufuli Funeral
Mamia ya watu walikusanyika Chato mkoani Geita Tanzania, kumzika aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk John Pombe Magufuli. Ambapo kulikuwa na watu mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali walioenda kumsindikiza katika safari yake hii ya mwisho. Katika waombolezaji hawa kulikuwa na watu maarufu kama Diamond…
2021 Slayage Edition
Ni Siku Nne tu toka tuanze mwaka mpya, na tunaweza kusema mwaka tayari unaonekana kuanza vyema kabisa as watu maarufu mbalimbali wameonekana ku-slay na outfit zao. Tunaanza na mwanamitindo Happiness Magese ambae alisheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa amevalia tulle dress ya pink akiwa amemalizia…
Hamisa Mobetto, Tanasha Donna Na Marioo Kwenye Utility Belt Bag Trend
Utility Fashion inarudi kwenye trend zamani kulikuwa na mavazi yanaitwa Timberland ambapo yalikua na mifuko mifuko mingi. Inaonekana trend hii inarudi lakini kwa sasa hivisio tu kwenye mavazi bali na mikoba pia, tumeona wabunifu mbalimbali wakiwa wamebuni vitu kama boilersuits to vests, cargo pants na…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…