Vanessa Mdee And Rotimi Revealed Their Expecting A Baby Boy On People’s Magazine
Mwanamziki Vanessa Mdee Au Vee Money na mpenzi wake Rotimi, wamewekawazi kwamba wanatarajia kupata mtoto wa kiume katika feature yao kwenye gazeti kubwa la People Magazine. Katika interview yao wameweka wazi kwamba wanatarajia kupata mtoto wa kiume, na kwamba zimebaki week chache mpaka kujifungua mtoto…
Tanasha Donna Maternity Photoshoot
Tanasha Donna ni mwanamuziki, Radio Presenter na Video Vixen kutoka Kenya ambae kwa sasa ni mpenzi wa mwanamuziki maarufu Nchini, bwana Naseeb Abdul A.K.A Diamond Platnumz. Diamond Platnumz & Tanasha Donna First Red Carpet Appearance Tanasha na Diamod wanatarajiwa kupata mtoto wao wa kwanza pamoja…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…