Chic Martenity Outfits Kutoka Kwa Ayanda Thabete
At this point we can all agree Rihanna just unlock the new era of martenity looks, huko mitandaoni kwasasa kila mtu ana show mimba yake oh yes if we can celebrate ab’s we can celebrate mother hood too, like hide it for who? Toka mwaka…
Tips On How To Be The Chicest Pregnant Woman At The Office
Kama ukiwa kawaida tu huna ujauzito sometimes unapata hasira kuchagua nini uvae ofisini then tambua hali hii huwa mara mbili zaidi kwa wajawazito. Mara nyingi maofisini wajawazito huwa wanaonekana wanajitupa au mimba zimewajia vibaya (lol). Wengi huwa wanaamua kushona au kununua maguo marefu wakavaa tu…
2 Looks From Elizabeth Michael Maternity Photoshoot
Muigizaji Elizabeth Michael ambae alifunga pingu za maisha na mumewe Majizzo mwanzoni mwa mwaka huu. Majizzo Na Elizabeth wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume na katika kututaarigu kuhusu ujio huu wa mwanafamilia mpya waliachia matnenity photoshoot yao. Eliza alivalishwa na mbunifu Elisha Red Label ambapo alivaa…
Jacqueline Wolper 5 Looks For Her Maternity Photoshoot
Jacqueline Wolper na mpenzi wake Rich Mitindo wameachia picha za maternity photo shoot yao, they gave us choices wamekuwa na look 5 tofauti ambapo kulikuwa na athleisure looks na glitz & glam wakiwa wamevalia sparkly glittery sequins Athleisure walikuwa na look mbili, matching sweat pants…
Siyabunny’s Serving Maternity Style Goals
Kwetu tumezoea ukiwa mjamzito basi ni madera madera na wewe, sio mbaya inawezekana ndio tunakua comfortable na haya mavazi, lakini kwa wenzetu wengine ni tofauti inawezekana sio kila siku lakini kilawanapo pata muda wa ku-slay wanaslay kisawasawa na ujauzito wao. Leo tunamuona Fashionista kutoka South…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…