2 Looks From Elizabeth Michael Maternity Photoshoot
Muigizaji Elizabeth Michael ambae alifunga pingu za maisha na mumewe Majizzo mwanzoni mwa mwaka huu. Majizzo Na Elizabeth wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume na katika kututaarigu kuhusu ujio huu wa mwanafamilia mpya waliachia matnenity photoshoot yao. Eliza alivalishwa na mbunifu Elisha Red Label ambapo alivaa…
Jacqueline Wolper 5 Looks For Her Maternity Photoshoot
Jacqueline Wolper na mpenzi wake Rich Mitindo wameachia picha za maternity photo shoot yao, they gave us choices wamekuwa na look 5 tofauti ambapo kulikuwa na athleisure looks na glitz & glam wakiwa wamevalia sparkly glittery sequins Athleisure walikuwa na look mbili, matching sweat pants…
Philomena Thadey In Emerald Green Dress For Her Maternity Photoshoot
Anaitwa Philomena Thadey wengi tunamjua kama Qute_Mena ni mke wa MC wa Taifa, Mc Pilipili. Pilipili na Mena walioana mwaka jana, na wamepata mtoto wao wa kwanza hivi karibuni. Katika photoshoot ya ujauzito wake Mena alichagua kuvaa hii emerald green mermaid dress, na tunaweza kusema…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…