Kunywa Vinywaji Hivi Kupata Ngozi Nzuri
Kuwa na ngozi safi, inayong’aa ni ndoto kwa wengi wetu. Ingawa skin care routine ni muhimu, lakipi kile unachoweka ndani ya mwili wako pia kinaweza kuwa na athari kubwa kwa afya na mwonekano wa ngozi yako. Kujumuisha vinywaji vinavyofaa katika utaratibu wako wa kila siku…
Kunywa Kinywaji Hiki Kupata Ngozi Yenye Mvuto
Kupaka vipodozi pekee hakuwezi kukupa ngozi nzuri, bali pia unahitajika kuangalia unachokula pamoja na life style yako, ikiwa kuna hitilafu kwenye kimoja wapo basi utatumia nguvu nyingi sana kupata ngozi unayoitaka. Ikiwa moja ya vitu ambavyo tunashauriwa kula kwaajili ya ngozi nzuri ni matunda na…
Sheet Mask Ni Nini?
Kwa wapenzi wa urembo wa ngozi basi hili neno si geni masikioni mwako, kwasasa ndio trend kubwa katika ulimwengu wa urembo ambapo watu maarufu na beauty & skincare experts wamekuwa wakiongelea sana kuhusu sheet mask, lakini kama sio mfuatiliaji wa haya mambo inaweza kuwa ndio…
Namna Ya Kutunza Ngozi Yako Ya Uso Katika Weekend
Inawezekana kutokana na hekaheka za week nzima ulikosa nafasi ya kufanya skincare yako vyema, uli skip moja au mbili, inawezekana week ilikuwa ngumu pia ukapata stress, umetembea juani na ngozi imechoka. Weekend ni muda mzuri wa kurudisha hali ya ngozi yako, ikiwa una muda wa…
You Don’t Need A 7/10 Step Skincare Routine To Have A Heathy Skin
We don’t know who needs to hear this but there you have it,huitaji kuwa na 7 to 10 skin care routine kuwa na ngozi nzuri na yenye afya. Ikiwa kwasasa skincare routine ndio zipo kwenye trend kuna baadhi ya vitu vinaibuka na kusababisha wengi wetu…
COSRX Advanced Snail 92 All in One Cream Review
Moja kati ya product ambazo zina hype sana huko mtandaoni iwe tiktok, instagram etc ni hii COSRX Advanced Snail 92 All in One, beauty influencers wengi wameonekana kuiongelea na kupendekeza wengine watumie, leo tupo hapa kukupa review yake. Kwanza abisa unahitaji kujua hii product inatengenezwa…
Namna Ya Kutambulisha Kipodozi Kipya Cha Ngozi Katika Ngozi Yako
Inawezekana una skincare routine lakini unataka kuongezea kipodozi kingine au pia inawezekana ni mara ya kwanza kuwa na skincare routine je unaanzaje kutambulisha kipodozi hiko kipya katika ngozi yako? Katika kila kipodozi kuna ingredients ambazo zinaweza ku-react vyema au vibaya katika ngozi yako inabidi uwe…
Anti Age Skin Care Tips
Hakuna anaetaka kuzeeka wengi wetu tunapenda kuonekana vijana daima, tukiwaona watu maarufu ambao wana umri mkubwa halafu ngozi zao bado nzuri hazijajikunja huwa tunawaza wanafanya nini au wamewezaje kuwa na ngozi nzuri vile, well leo tunakuibia siri ya wao wanawezaje, Well fuatisha hizo tips na…
Ni Muda Gani Usubiri Kupaka Makeup Baada Ya Kupaka Skin Care?
Kuwa na skin care routine is no joke, hasa pale ambapo ni mfanyakazi unahitaji kuamka mapema na hata kama umechoka usiku inabidi usipande kitandani mpaka uhakikishe umepaka night skincare yako. Sasa kuna kile kipengele cha asubuhi unataka kuwahi kwenye mihangaiko yako na unatakiwa upake skincare…
Je Upi Ni Muda Mzuri Wa Kutumia Vipodozi Vya Ngozi?
Umeshawahi kujiuliza kwanini cream ambayo wengine wengi wanaisifia lakini kwako haifanyi kazi? Umeshawahi kufikiria labda huitumii kwa muda unaotakiwa? ( Muda sahihi). Kujua ni bidhaa gani inafaa kutumia katika ngozi yako ni jambo moja ambalo wengi huwa tunalitilia maanani lakini huwa tunasahau kuuliza ni muda…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…