Lulu Diva Na Muwasho Wa Wig
Mwanamuziki, mtangazaji na muigizaji Lulu Diva ameonekana katika kipindi cha Mr. Right hivi karibuni akiwa anajipiga piga kichwa hii ni ishara ya kwamba wig yake ilikuwa ina muwasha na alikuwa ana jaribu kupunguza muwasho huo. Kwa msanii mkubwa kama yeye hii hali haileti picha nzuri…
Mashabiki Wameshindwa Kuvumilia Wig La Diva The Bawse
One thing kuhusu mashabiki na hasa wa-Tanzania watakupa ukweli wako upende usipende,hivi karibuni mwanadada mwenye sauti yake nzuri mjini Diva The Bawse ameonekana kuwa analaumiwa na mashabiki wake kutokana na wig analolivaa. Mashabiki wamekuwa wakimsema aliyemuuzia kwamba amemkomoa lakini wengine kuwa wakweli kabisa na kusema…
Namna Ya Kutunza Wig Lako
Nywele ni sehemu muhimu ya muonekano. Kiukweli nywele zinakamilisha muonekano . Nywele zako zinaweza kufanya uonekane mdada wa maana au unalazimisha. Nakwambia nimeshaona wadada wamevaa kisista duu kweli ila nywele tu…nywele tu. Actually, hawa wadada ndio wamenimotivate hata kuandika hii article. Mara nyingi tunaassume watu…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…