SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Namna Ya Kustyle Jeans Ofisini 

Jeans ni vazi ambalo linaaminika kuwa ni vazi la casual, lakini unaweza kulivaa sehemu yoyote endapo tu utali-style kwa namna sahihi kutokana na eneo unalokwenda. Vazi hili ni vazi zuri kutokana na kwamba lipo comfortable lakini pia kama utavaa vyema kazini linaweza kukufanya u-stand out,…

Mitindo

Nguvu Ya Rangi Na Athari Zake Katika Kazi 

Ukweli kuhusu kazi ni kwamba inachukua sehemu kubwa ya maisha yetu, Muda unaotumika kazini mwetu, iwe ofisini, kwenye duka, au mahali popote pa kazi,Kwa hiyo, ni muhimu kufikiria jinsi tunavyoweza kutumia muda huu vyema, ikiwepo kutafuta furaha katika kazi yetu na katika daily routine zetu….

Mitindo

Namna 5 Za Kuonekana Stylish Kazini 

Moja kati ya vitu ambavyo wengi tunapitia ma-ofisini ni kuwa confused kati ya kuwa over dress na ku-low dress ofisini na chaguo kubwa huwa kuwa katikati yaani usiwe low wala over dressed na hapa ndipo tunapokutana wengi unakuwa na ma shirt yako ya rangi moja…

Mitindo

Namna Ya Kuonekana Classy & Elegant Ofisini 

Ladies wewe ni mmoja kati ya wale ambao unajitahidi sana kazini uonekane elegant na classy lakini unaona bado haujafanikiwa? Inawezekana kuna vitu vidogo vidogo una miss katika mionekano yako.Leo tunakuletea tips zinazoweza kukusaidia uonekane classy na elegant Fitted outfits / Right Materials Hakikisha nguo zako…

Mitindo

3 Tips To Get Dressed Quicket To Work 

Umetoka zako out weekend umechoka unaamka asubuhi hujui uvae nini unapoteza muda kutafuta nguo matokeo yake wewe ni mchelewaji sugu kazini kila siku upo kwenye chumba cha HR kusemwa kuhusu uchelewaji wako lakini je wajua hili linaweza kubadilika na ukawa unatoka vizuri bila ya kuwa…

Mitindo

Jinsi Ya Kustyle Mavazi Ya Ofisini 

Tukiwa tunajiandaa na kuanza week mpya kesho na kuandaa mavazi yetu ya ofisini tumeona tukuletee tips chache ambazo zinaweza kukusaidia ku upgrade muonekano wako wa ofisi kuanzia sasa Style blazer yako ya ofisini kwa kuongezea kufunga mkanda lakini pia kukunja mikono ongezea rangi na prints…