Otile Brown Afichua Jewelry Mpya Za Mbosso Ni Fake
Kenyan’s wamekuwa wakitu-blast sana mwaka huu,ikiwa hatujapoa na vuguvugu la Khaligraph Jones na Rappers wa Tanzania, mwanamuziki kutoka Kenya Otile Brown amefichua kwamba zile Jewelry mpya za Mbosso ni fake pia, tumesema ni fake pia maana alisema kwenye caption yake No More Fake Isht. Otile…
Bold And Stylish Suit Looks From Last Week
Week iliyopita hakukuwa na mambo mengi sana hasa upande wa watu maarufu wakike Nchini, lakini kwa wakaka inaonekana kama wamepania mwaka huu, well tumeona baadhi ya watu maarufu wakiume ambao walikuwa wamevalia suit zikiwa bold na ku-make statement kwa namna moja au nyingine. Tumemuona mbunifu…
Mbosso Serving Legs In A Lace Look
Wanasema “Style is like music, we all create our own tune” kila mtu anachaguo lake linapokuwa kwenye swala zima la style na mavazi, wakati wengine wakiamua kuwa lowkey, wengine wakitupia mitoko according to fashion rules, wengine wao wanaamua kuwa daring na kutoka kitofauti zaidi. Well…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…