SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Cop

Wasafi Festival Looks In Songea 

Mpaka sasa wasafi festival imeshapita sehemu tatu ambapo walianza na Mtwara, wakaenda Ruangwa na week hii tumewaona wakiwa Songea, na tupo hapa kuongelea looks za recently ambayo ni Songea, utajiuliza kwanini tumeruka Ruangwa, sababu ni moja tu hakukuwa na looks za kuziongelea sana. Songea wasanii…

Mitindo

Reviewing Wasafi Festival Looks In Mtwara 

Wasafi festival imeanzana opening ya hii festival mwaka huu imeanzia mtwara ambapo ilifanyika usiku wa kuamkia jumamosi, as ni event kubwa na ni ya kwanza tukawa na expectations kubwa ya kwamba looks zitafunika huko, huwa tunajua kitu cha kwanza na cha mwisho huwa tunapania lakini…

Mitindo

Bold And Stylish Suit Looks From Last Week 

Week iliyopita hakukuwa na mambo mengi sana hasa upande wa watu maarufu wakike Nchini, lakini kwa wakaka inaonekana kama wamepania mwaka huu, well tumeona baadhi ya watu maarufu wakiume ambao walikuwa wamevalia suit zikiwa bold na ku-make statement kwa namna moja au nyingine. Tumemuona mbunifu…

Judge Afro

Mbosso Serving Legs In A Lace Look 

Wanasema “Style is like music, we all create our own tune” kila mtu anachaguo lake linapokuwa kwenye swala zima la style na mavazi, wakati wengine wakiamua kuwa lowkey, wengine wakitupia mitoko according to fashion rules, wengine wao wanaamua kuwa daring na kutoka kitofauti zaidi. Well…

Urembo

Je Ni Sawa Kwa Mwanaume Kupaka Henna? 

Tumezoea kuona wanawake tu wakiwa ndani ya michoro ya henna ambapo kwa wanaume huwa tunawaona wachache ambao hata hao wachache huwa wanapaka kwenye kucha na vidole vichache tu. Lakini imekuwa tofauti kidogo kwa Mwanamziki Mbosso kutoka Tanzania na Jidenna kutoka Nigeria ambao wao walienda extra…