All The Looks From Malkia Wa Nguvu 2022
Malkia Wa Nguvu 2022 ilifanyika Jumamosi Machi 26, ambapo watu maarufu mbalimbali walihudhuria hafla hii. Tupo hapa kukuletea nani alivaa nini na je ilikuwa yes au no? Lavie Makeup dressed by Thee Red Label, Photo @20r_touchez,Mua @laviemakeup & Hair Hair @empress__lexygoodhair Dayna Nyange dressed by Dressed 👗 @designed_by_shuu, MUA…
Reviewing Malkia Wa Nguvu Red Carpet Looks
Event ya malkia wa nguvu 2021 imefanyika jumamosi ya tarehe 24, watu maarufu mbalimbali walihudhuria event hii na kuna wale waliopenda na waliotupa mshangao, tuanze na kusema ilikuwa ni sad red carpet kuiona mwaka 2021 they took us back to 90’s kweusi. Tuanze na Best…
Ramadhani Beauty Looks From Tanzania’n Celebrities
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umeanza, na kwa sasa watu maarufu mbalimbali wamebadilisha mionekano yao. Ikiwa wengi wanavalia mavazi marefu leo tumejaribu kuangalia looks zao za makeup. Tumewaona Zuchu, Queen Darleen, Hamisa Mobetto na Meena Ally wakiwa na makeup nzuri zilizo tulia tumewaletea hapa in case…
HOT TOPICS
The Hardest Part Of Being A Nigerian Bride Is To Comeup With A Bride Look That Wont Match With Any Of The Guest’s A… https://t.co/8vfNPS0IYg
FollowItaly Kumekucha Afromates #TheKardashian #TheKardashian wapo huko kwaajili ya the wedding of the year. Haya mnasubiri lo… https://t.co/kENoAG9RQg
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…