Nahreel Navykenzo & Asap Rocky In Double Belt Trend
Moja kati ya trend za zamani ambazo zinarudi kwasasa ni kuvaa double belt (mikanda miwili), miaka kadhaa nyuma tuliona watu maarufu wakiume na wa kike wakiwa wamevalia hii trend na mwaka jana mwishoni tuliona fashion houses mbalimbali zikipitisha models wao kwenye runway wakiwa wamevaa mavazi…
Cyrill Kamikaze Talks About Fashion & Hygiene
Cyrill ni moja kati ya wanamuziki wanaofanya vyema katika kazi zao lakini pia ni moja kati ya wale wachache wenye kujipenda na kuvaa vyema, tumepata nafasi ya kuzungumza nae machache kuhusu mitindo na usafi kwa wanaume, AFS: Wengi tunakujua kama Cyril, tuambie kuhusu wewe background…
Idris Sultan MisMatched Shoes Saga
Muigizaji, mchekeshaji, radio host na mshindi wa Big Brother Africa-Hotshots, 2014 Idris Sultan amekuwa gumzo huko mitandaoni kutokana na uchaguzi wake wa viatu katika hafla ya Uwekezaji Day 2023 amabyo iliandaliwa na bank ya CRDB. Idris alikuwa moja kati ya waalikwa katika hafla hio na…
Bold And Stylish Suit Looks From Last Week
Week iliyopita hakukuwa na mambo mengi sana hasa upande wa watu maarufu wakike Nchini, lakini kwa wakaka inaonekana kama wamepania mwaka huu, well tumeona baadhi ya watu maarufu wakiume ambao walikuwa wamevalia suit zikiwa bold na ku-make statement kwa namna moja au nyingine. Tumemuona mbunifu…
Nuh Mziwanda Serving In Customized Hoop Earrings
Unadhani umeyaona yote? basi tukwambie tu Dunia bado haijamalizana na wewe mpaka pale yenyewe itakapo malizana nawe, tumezoea kuona hizi hereni kwa wasanii maarufu wakike kama Zuchu, Jennifer Lopez, Nicki Minaj na wengine wengi, hereni hizi ni za duara kubwa na katikati huwa zinaandikwa chochote…
5 Tips To Look Sexy In A Shirt
kuna vitu vidogo vidogo ambavyo mwanaume unaweza kufanya ukaonekana smart, stand out na kuleta mvuto katika muonekano wako, wengi wetu hudhani huitaji kupendeza kwani wewe ni “mama” lol now days wadada wanavutiwa na wakaka walio smart. Leo tunakuletea tips 5 za kuonekana sexy ukiwa umevalia…
Kuna La Kujifunza Kutoka Katika Sakata La Kizz Daniel
Ukiachana na kwamba Kizz Daniel amezingua kutokupanda kwenye show ambayo alilipwa na Wananchi walishatoa viingilio, lakini pia ametuonyesha ni namna gani watu maarufu kutoka Nigeria wapo makini na mionekano yao. Kizz ambae alitakiwa kutumbuiza Jumapili iliyopita alionekana kushindwa kutokea eneo husika kutokana na kwamba bag…
Bijoux Trendy On Working With Ali Kiba
Bijoux ni moja ya wabunifu tulio nao Nchini ambao wapo tofauti kabisa, ikiwa wengi wame base kwenye mavazi ya sherehe na wengine wakiwa kwenye material za kizungu yeye anafanya batiki na mavazi ya ni ya day wear, hivi karibuni tumemuona mwanamziki Ali Kiba akiwa amevalia…
Otile Brown Flaunting His $695 Balenciaga Crocs Boots
Mwanamuziki kutoka Kenya, Otile Brown ambae amesheherekea siku yake ya kuzaliwa jana ameonekana akifungua / Unboxing zawadi ambayo ni Balenciaga Crocs Boots zinazouzwa $695 sawa na Tsh 1,610,315.00/- Oh well kama ni mpenzi wa fashion utajua hizi crocs boots zimekuwa zikitamba mtandaoni na ni Kanye…
Hans Tone Rocking Black Nail Polish
Dhana za kusema kupaka rangi katika kucha ni Uanamke zimepita sasa hivi wanaume nao wanapaka rangikucha zao, by the way kupaka rangi kucha kumeanza miaka mingi tangu enzi za ma’babu zetu kwaio sio kitu kigeni bali tu hapa katikati swala hili liliachwa kwakua iliaminika urembo…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…