Marioo,Diamond Na Watu Maarufu Wa Kiume Hawajui Kuhusu Utunzaji Wa Mikono
Usafi wa mikono ni muhimu sana kwa binadamu, iwe mtu maarufu au wa kawaida, uwe wa kike au wa kiume wote tunatakiwa kuwa na mikono misafi, mikono misafi haichagui jinsia wala umri. Katika pitapita zetu kwenye mitandao ya kijamii tumeona wasanii wetu wakijitahidi kuvaa vyema,…
Ben Pol In Men Color Polish Trend
Nail Color Polish kwa wanaume imekuwa ni trend mpya tumeona watu maarufu mbalimbali kutoka ndani na nje ya Nchi wakiwa wanajaribu trend hii, watu kama Harry Styles, Snoop Dogg, Asap Rocky kutoka marekani wameonekana kwenye trend hii lakini week chache zilizopita tuliwaona Rhyno na Wildad…
Wildad Agripa & Rhino King Wame-Join The Men Nail Polish Trend
Trend hii ya wanaume kupaka rangi za kucha ilianza mwaka jana ambapo tuliwaona watu maarufu kutoka Nchi za Nje kama Asap Rocky, Harry Smiles, Snoop Doggy na wengineo wakiwa wamepaka rangi za kucha iwe miguuni au mikononi. Utajiuliza kwanini wanaume wapake rangi kucha? Well the…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…